Ushuhuda: Nilikimbia Ualimu Kuepuka Matatizo

sasa elli km ulifanya huo uamuz ni jambo la busara sana...tupe mrejesho ulielekea wapi na huko ulikoelekea umefanikiwa kupata nn mfukoni na kimaisha kiujumla....ila walimu poleni rafiki zangu
 
sijapat kikubwa sana ila at least nimepata uwezo wa ku-bargain ujira na kwamba ninavyoongeza juhudi ndivyo ninavyopata! Sio ile ya flat rate yaani ukikaa hadi saa 12 jioni bado at the end utalipwa salary ile ile. Nimetoka kule nimepata exposure kubwa na challanges nyingi nzuri na nimejenga confidence zaidi. Kwa sasa nitamke hayo tu
 
Zunguka ofisi nyingi za umma au binafsi, bungeni, tembelea vyuo vikuu vingi hapa nchini utabaini katika watu kumi, wawili au watatu wana historia ya kuwa walimu.
Exodus hii inamaanisha walimu wamejiongeza, kazi kwako wewe unayeshinda mitandaoni kulalamika bila kuchukua hatua.
 
Hizi kazi huwa haziachwi kama hujafukuzwa,ukipewa wanafunzi uwape huduma wape,labda kama huna wito unaweza kuacha.
 
this is a sadness story, cjui kama ni keel au mtoa post anatest scene kama imekaa vizuri ili a direct movie
 
Hahaahaa umri wangu wa JF unanisuta kusema ukweli. Post hii niliitoa enzi zile JF haijavamiwa sana na wahuni
 
Zunguka ofisi nyingi za umma au binafsi, bungeni, tembelea vyuo vikuu vingi hapa nchini utabaini katika watu kumi, wawili au watatu wana historia ya kuwa walimu.
Exodus hii inamaanisha walimu wamejiongeza, kazi kwako wewe unayeshinda mitandaoni kulalamika bila kuchukua hatua.

Hizi kazi huwa haziachwi kama hujafukuzwa,ukipewa wanafunzi uwape huduma wape,labda kama huna wito unaweza kuacha.

Mpwa wangu ameshakujibu, Ualimu ni daraja zuri sana la kukuwezesha kufanya ishu nyingine
 
Hizi kazi huwa haziachwi kama hujafukuzwa,ukipewa wanafunzi uwape huduma wape,labda kama huna wito unaweza kuacha.
Mkuu unadanganya wenzako eti Ualimu ni wito wakati hakuna maduka ya wito, mabucha ya wito, hospital za wito, daladala, shule na nyumba za kupanga za wito ili wenye kazi za wito na familia zao wapate huduma huko.

Askari wa JW ile inaweza kuwa ni kazi ya wito maana wanapata ofa nyingi ikiwemo maduka yao special.
 
Back
Top Bottom