Ushuhuda: Nilikimbia Ualimu Kuepuka Matatizo

Mwalimu Elli HUKUSTAHILI KUWA MWALIMU NIPE MAANA YA NENO "KWENE"Kiukweli wewe ni mwl wa gred A Uliyepata 4 ya 28 tena kwa KUBAHATISHA.
 

kama unafuata sheria za kufundisha huwezi toka kama unavyotaka tuamini
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa Mpwa wangu unachosema, sasa kama umeshanihukumu hata nikikupa manaa yake itasaidia kitu?
Mwalimu Elli HUKUSTAHILI KUWA MWALIMU NIPE MAANA YA NENO "KWENE"Kiukweli wewe ni mwl wa gred A Uliyepata 4 ya 28 tena kwa KUBAHATISHA.
 
Hahahahah mpwangu Elli upo wapi siku hizi?
 
Last edited by a moderator:
Mpwa niko mtaani ni mjasiliamali tu ila sikwepi kodi

Mbona umejisalimisha haraka kwamba hukwepi kodi.?....nina wasiwasi utakuwa mmoja wa wenye contena....lol
 
Hahahahah sawa mpwa wacha si tukomae na ma TGS tuuu

Ooogghhh niliogopa maana sikua naelewa hata hizo TGS ila nilianza na salary ya laki mbili na kidogo, na ka Bachelor kangu!
 

Ukweli ndo huo ualimu ni uchochoro tu wa kupita kwenda kwenye mafanikio kwa kijana wa kimaskini wa kTz
 
Bac siendi kusoma degree ya ualimu
 

kuna kauli moja aliitoa kuhusu shutuma kwa wanae hasa yule mkubwa, nilishangaa Sana.
 
Ooogghhh niliogopa maana sikua naelewa hata hizo TGS ila nilianza na salary ya laki mbili na kidogo, na ka Bachelor kangu!
kuna mwalimu ame proposal hapa kwa post hii bado nafikiria
 
Hahahaaaa Kontena ninazo za kubebea chips! Zile nyingine sina hahaahahahhaaaaa
Habari ndungu Elli.
Ni miaka takriban 2 toka nisome uzi wako,
Kama bado una moyo wa kufundisha, nitafute PM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…