Ushuhuda: Mwanamke hakopeshwi hela, anapewa tu

Ushuhuda: Mwanamke hakopeshwi hela, anapewa tu

Kuna mmoja huyo nilimkopa akiwa kazini basi akanikata juu juu yao.
Basi baada ya hapo nikapotezea.. akafukuzwa kazi then akarud res kuniomba tena hela nikamwambia kafie mbali
 
Japo sijapata hasara kubwa ila ni ushuhuda tosha kwamba demu/msichana hakopeshwi hela bali anapewa kama sadaka!!Nakupa experience.

Wakati namtongoza hakuonyesha uroho wa hela,mara nyingi nikikutana naye alikuwa ni mtu wa stori za kujishughulisha kuongeza kipato.

Mwanzo alikuwa mgumu hata kukutana na mimi,ila mwanzoni mwa mwezi wa tatu akaonyesha utayari wa sitaki-nataka halafu akachomekea nimkopeshe laki 5 aongeze mtaji.

Kutokana na mishe mishe zake nilikuwa na imani huyu manzi angerejesha mkopo bila utata,halafu itakuwa kama nimemnyunyizia kuku punje za mchele kuelekea kwenye banda langu.

Siku moja kabla ya kumpa huu mkopo alinibusu shavuni na kunipapasa mgongoni nikajua hapa ndani ya wiki hii ninaweza kula mzigo.

Kesho yake nikampa tena nilikuwa nimeandaa mkataba tuandikishane asinidhurumu,ila alivyonilegezea sauti na macho nikajikuta nimesahau kumsainisha.

Sasa ni mwezi wa 6 hela sijalipwa na dalili hakuna,kila siku ananisimulia matatizo ya familia yake. Hata ule moto wa kumtafuna unakata maana ni dhahiri ile laki 5 nitakuwa ndio kama nimehonga tu.

Ewe kijana mwenzangu pokea huu ushuhuda kwamba manzi hakopeshwi hela,kama unampa basi usiweke kwenye taarifa zako za fedha.

Mwenzio niliingiza kwenye book keeping sasa ninashindwa jinsi ya kufuta entries
Ahahahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ulilainika kwa kupigwa busu tu na kupapaswa mgongoni basi! Aisee mikono iliyokuwa inakupapasa ilikuwa inakutekenya unasikia raha, unatuona sisi tusiopapaswa mafala ha ha ha ha hilo busu aisee lilikuwa motomoto, nafikiri hivyo likakupagawisha mzee wa watu ukalewa kama umekunywa viroba. Inakuaje kama angekunyonya hizo pumbu eh ungeweza hata kumpa mtaji wa biashara unayofanya inawezekana bana wanaume tujifunze; wanawake ni dhaifu ila ni wajanja sana wakiona money, money, moneyyy!
 
Hujamtafuna bado na miezi sita imepita??,,wtf
 
Back
Top Bottom