Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,004
Fanya jitahada zote ule mzigo upunguze machungu japo kidogo na ikiwezekana hata vumbi la Kongo/kasongo ulitumie hiyo siku.
Mzigo ulikula?Wanaume wa Dar mnatutia aibu sanaHapo ukipiga mzigo tu,pesa imeenda.
Mimi laki tatu yangu nimeshaisamehe kabisa
duuh hata mimi mgumu sana kumwandikisha mtu mkataba, huwa natoa kwa imaniMihemko uliiweka mbele, ungekomaa mkaandikishana kama uliona umuhim wa pesa hiyo, pole
Hongera sanà Mkuu,wewe ndio Kidume hapo ni sawa ulionga Vitz ukala mzigo.Hiyo lazima,bora nusu hasara Mkuu
Mzigo nilipiga Mkuu, ilisaidia sana kupunguza machunguMzigo ulikula?Wanaume wa Dar mnatutia aibu sana
Naomba na mm Young nikopeshe jamaniHapo ukipiga mzigo tu,pesa imeenda.
Mimi laki tatu yangu nimeshaisamehe kabisa
Ndo unajua leo?Japo sijapata hasara kubwa ila ni ushuhuda tosha kwamba demu/msichana hakopeshwi hela bali anapewa kama sadaka!!Nakupa experience.
Wakati namtongoza hakuonyesha uroho wa hela,mara nyingi nikikutana naye alikuwa ni mtu wa stori za kujishughulisha kuongeza kipato.
Mwanzo alikuwa mgumu hata kukutana na mimi,ila mwanzoni mwa mwezi wa tatu akaonyesha utayari wa sitaki-nataka halafu akachomekea nimkopeshe laki 5 aongeze mtaji.
Kutokana na mishe mishe zake nilikuwa na imani huyu manzi angerejesha mkopo bila utata,halafu itakuwa kama nimemnyunyizia kuku punje za mchele kuelekea kwenye banda langu.
Siku moja kabla ya kumpa huu mkopo alinibusu shavuni na kunipapasa mgongoni nikajua hapa ndani ya wiki hii ninaweza kula mzigo.
Kesho yake nikampa tena nilikuwa nimeandaa mkataba tuandikishane asinidhurumu,ila alivyonilegezea sauti na macho nikajikuta nimesahau kumsainisha.
Sasa ni mwezi wa 6 hela sijalipwa na dalili hakuna,kila siku ananisimulia matatizo ya familia yake. Hata ule moto wa kumtafuna unakata maana ni dhahiri ile laki 5 nitakuwa ndio kama nimehonga tu.
Ewe kijana mwenzangu pokea huu ushuhuda kwamba manzi hakopeshwi hela,kama unampa basi usiweke kwenye taarifa zako za fedha.
Mwenzio niliingiza kwenye book keeping sasa ninashindwa jinsi ya kufuta entries
Mzigo utatoa au nitakuwa nimekula hasara tuNaomba na mm Young nikopeshe jamani
Aiseee,Mimi nisingekubali by any means ningekutafuna tuuEti mie mwanaume alete dalili za kunitongoza, nimkope pesa afu ategemee kurudishiwa......asahau.
Hata kama uko humu Jf....SAHAU KAKA!!!!!
Wanaume ninaokesha nao Pm 24/7 wananijua...sema hawatathubutu kuja kukiri hapa jukwaani.
Hakuna cha kupunguza machungu wala nini.Aisee inauma sana kwakweli,ila nilivyopiga mzigo kidogo uchungu ulipungua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] NimechekaMzigo utatoa au nitakuwa nimekula hasara tu
Safi sanaMzigo nilipiga Mkuu, ilisaidia sana kupunguza machungu
Inawezekana mkuu....Nahisi ndo wew ulinikopa ukapotea mazima
Hahaha,mimi haja yangu ilikuwa utelezi tu na nimefanikiwa kupata na bao zangu nimepiga, hayo mengine ni juu yake tu.Hakuna cha kupunguza machungu wala nini.
Yaani ngoja nikupe siri, katika vitu ambavyo wanawake huwa hatuna habari wala kusumbua ubongo ni lile suala la kutoa penzi na kondom.
Yaani mwanamke akitiwa na ndom, huwa anajiona kama hajafanya kitu.
Sasa kama wewe ulipunguza machungu huku umevaa ndom, hasara kwako poooohhhhh!!!!
Huku kwetu kamshange tu!!!
Kunitafuna sio solution hata mngenipiga mtungo, swali, je....nilirudisha?Aiseee,Mimi nisingekubali by any means ningekutafuna tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe kama uko tayari njoo PM tumalizane,mimi nikipiga mzigo hata kama ni milioni nasamehe kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka
Kupiga bao ndani ya ndom, sawa na mchezaji kujifunga goli.Hahaha,mimi haja yangu ilikuwa utelezi tu na nimefanikiwa kupata na bao zangu nimepiga, hayo mengine ni juu yake tu.
Inaonekana ushawaliza maboya wengi sanaInawezekana mkuu....
Si unajua hapa twatumia fake names?
Hahahahahaha.....
Hahaha,mimi haja yangu ilikuwa utelezi tu na nimefanikiwa kupata na bao zangu nimepiga, hayo mengine ni juu yake tu.