Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,788
- 11,146
Hongera sana. Mimi kwa mbio za hapa mjini nilisha confirm kuwa 100% sitakaa ninenepe na sijawah. Ila nikirudi mama na mzee mkoa huko kwa mapumziko aisee week 1 parefu najenga mwili hatari kabisaa. Lakini nikurud town sijawahi kuvita kilo 68 mpaka leo at 30's .Yeah Ndio chief wengine wanaenda mpka miaka 5,9,7 kidonge awaijui mimi nafanya mazoez kwa sababu mwil wangu Una nature ya unene.. Nikijisahau6 kidogo tu nanenepa hatali.. Kitambi kama chote
Sent using Jamii Forums mobile app
Unene jau sana


