hibiscus interior
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,168
- 596
Majuto ni mjuukuu wa nani.
Afu uwa katundu
Afu uwa katundu
Jipe moyo manake una moyo butuSiku zote majuto ni mjuukuu..
Tujifunze kutokana na haya yaliyompata mwenzetu.
Hata hivyo sioni sababu ya yeye kuharibikiwa na maisha kwa sababu tu amemkosa "Franco" Kuna wanawake wengi tu wanaishi bila mume na maisha yanasonga.
AlijijuiHapa utaweza kutofautisha kati ya single moms na walioko ktk ndoa. Kwa kujishaua…………………… ndio wenyewe sasa, wanajifanyaga kama vile mbona poa tu huku viroho vyao vikiugulia maumivu.
Yaani mtu ulikuwa unaishi kwenye ndoa yako fresh bila shida, umeleta upuuzi ukatimliwa, unaishi maisha hayana muelekeo bado kuna nungayembe linakuja na coment, eti mbona kuna wanawake wanaishi bila waume na wako poa tu.......ptuuuuuu! (unashadadia upuuzi)
Thibitisha huo uwongostori ya uongo