Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.

Ni msemo sahihi kwa kijana ambaye anajijibidisha katika shughuli pasipo kukata tamaa, wale wanaoshinda vijiweni wakipiga siasa hata wakifika 50 watajiona wao bado tu
Kwa Afrika na nchi ambazo ni less developed countries maisha yanaanza at 40 kuanzia miaka 18-39 ni mchakamchaka mzito kwa kifupi ni vita ya kujiimarisha na kujijenga kiuchumia unapofika kwenye 40 kuna vingi utakua umeanza kufanikiwa haswa hili "FINANCIAL FREEDOM"
Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
Hii kitu nimekua mkubwa sasa nashuhudia kuwa mjenzi wa hii kauli hakukurupuka. Naelekea huko naona barabara inanyooka. Nakiri kwa nchi zetu hizi mtazamo huu unadhihirika.
Maisha hayapo hivo kabsa coz Kuna wanao fanikiwa before 40s Kuna wanaofanikiwa after 40s yote Kwa yote kila mtu ananjia zake,, waswahili wanasema mafanikio hayana formulary some time is true