Kwaresma hii nami nimefunga 43 na except 2 days, matawi na jumamosi kuu.
Nimeona majibu ya maombi yangu.
Mungu ni mwema mnoo.
Jana nilikuwa namwambia mdogo wangu tunatakiwa kusimama wenyewe kwa miguu yetu kuongea na Mungu sio kuwafata wachungaji, sijui manabii, ama mitume watuombee.
Kiukweli unafaa watu wote ila binafsi nimeguswa na akina dada sababu nina experience ya wadada wengi ambao wana struggle kupata mtoto. Wengine kama huyu tayari wana mtoto au watoto lakini wakitaka kumalizia ndoto zao inageuka issue nzito!
Otherwise hata sisi wanaume lipo kubwa la kujifunza.