Ushuhuda - Kuku wa kienyeji ..

Saidia kidogo, hebu sema jambo kwa majani ya kila mmea hapo, unautumiaje, unaaloweka kwenye maji au unawapa majani yenyewe kama chakula
Mchicha, majani ya magimbi, vinasa nguo, - haya wanakula tu kawaida
Mpera, aloevera, rosella - haya inabidi uwatengenezee juice yake ikae masaa 6 / 12 kwenye maji .. Yakibaki unamwaga kesho unaandaa tena. Fanya hivyo kwa siku 5 mfululizo.
 
Mwanza jijini
oooh sawa mdau nilizani upo jijini Dar....vipi wanapokuwa waharisha unawapaga dawa gani mie wangu wana mafua makuharisha pia...kawaida huwa nnawapa antbiotic ya OTC20/50% na inawasaidiaga but this time nilipewa dawa tofauti haijawasaidia hadi imebidi kuwapa fluban ambayo nazani inawasaidia taratibu..ishu ni mharo je huwa kuna mtishamba unaosaidia kukata hii kitu??
 
Majani ya mpera ndo kiboko ya kuhara, twanga then weka kwenye maji kwa masaa 12, wape wanywe - yakibaki mwaga na andaa mengine kwa ajili ya siku inayofuata.
Pia majani ya Rosela yanasaidia sana, tatizo majani hayo hayapatikani kiuraisi huko Dar!Hapa mwanza yapo ya kutosha, nimeyapanda tu mengi home.
 
asante sana mpambanaji nitaitumia leo nisimamishe kwanza fluban ili wakate kuharisha maana wanakosa hadi hamu ya kula....nikweli miti ya rozela huku haipo ila majani yake yaliyokaushwa yanauzwa huku c unaweza kuyaloweka ukawapa bado yatafanya kazi inayotegemewa au??
 
Inawezekana hiyo mkuu, ila najua kwenye supermarket wanauza rosella flowers na sio majani...
 
Inawezekana hiyo mkuu, ila najua kwenye supermarket wanauza rosella flowers na sio majani...
SURE THING NI FLOWERS......hivi kwa huko jijini kwenu chotara mnawapata wapi somebody asked n no ans, there help out??
 
Mh...kwa ujasiri huo...unakoelekea utajaribu hadi bangi
 
Mh...kwa ujasiri huo...unakoelekea utajaribu hadi bangi
kama bangi imekwepo tangu hajafikiriwa kuja duniani unahisi itakuwa na madhara kuzidi uwoga huo.....c kazi ngumu wala c rahisi pia karibu sana
 
SURE THING NI FLOWERS......hivi kwa huko jijini kwenu chotara mnawapata wapi somebody asked n no ans, there help out??
Unachukua kuku tahira jogoo unampandisha kwa kuku wa kienyeji.
 
Naongezea apo na alzeti mwitu mm nimeifumia sana na imenisaidia sana lakini nlikuwa natumia kwa kuku wa kienyeji
 
asante sana ndg.. jamii inahitaji watu makini kama ninyi
 
Iko kama alizeti lakin yenyewe inajiotea porin ila unaweza ipanda pia. Mm niliipanda baada ya kuona uzuri wake. Badae nitaipiga picha nikutumie.
nasubiri niione mkuu, ahsante kwa nyongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…