Ni vema Kama ungedadavua kiundani zaidi zaidi jinsi ya kutumia hizo dawa.Wapiganaji habari za leo ...
Nimekuwa kwenye kujaribu kila ushauri niupatao hapa Jf kwenye ujasiriamali na namshukuru Mungu kwamba kuna vitu nimevifanyia kazi vikaleta matokeo chanya. Sina budi niwajuze ili nanyi mkafaidi.
1. Kuku wa kienyeji akipatiwa tiba asilia tu kuanzia hatua za awali anakuwa mstahimilivu wa maradhi.
Ifuatayo ni list ya majani nilowapatia vifaranga kwa kipindi cha miezi minne na sasa wana afya njema.
i) Vinasa nguo,
ii) Mchicha
iii) Majani ya Magimbi
iv) Alovera
v) Majani ya mpera
vii) Majani ya rosella - Haya sikuwahi kuyaona yameandikwa popote, niliyatumia kwa sababu yameandikwa sana kwenye tiba za binadamu.
Zaidi ya yote nimeyaona maajabu ya kitunguu maji. Hii ni tiba na kinga ya mafua kwa kuku wa umri wowote. Nakumbuka siku moja mwanangu alinipigia simu na kunieleza kwamba kwenye vifaranga wanapiga chafya sana. Nilipoenda sokoni nilikosa pilipili kichaa, nikataka kwenda kununua fulban (dawa ya mafua kwa kuku) - hela ikapungua. Nikakumbuka kwamba kuna bandiko moja kwenye JF linaongelea maajabu ya kitunguu maji .. basi nikanunua Kg 1 ya vitunguu, nilipofika nyumbani nikachukua vitunguu 3 nikavikatakata na kuninginiza kwenye banda la vifaranga ...
Asubuhi hakuwepo kifaranga hata mmoja alokuwa akipiga chafya. Hivyo nikajua kwamba kuna ukweli kwamba kitunguu maji kinakusanya bakteria walioko hewani.
Naendelea na majaribio mengine .. nitawajuza iwapo kutatokea jambo jingine la kuwashirikisha.
I like itWapiganaji habari za leo ...

Chukua kitunguu, katakata sles, chukua chujio, weka sless za vitunguu maji kisha funika na karatasi juu - tumia gundi kuzuia karatasi isidondoke, funga kamba kisha ninginiza ndani ya banda la kuku.asante sana naomba unijuze vizur namna ya kuning'iniza kitunguu bandani kwa ajili kunana bacteria
Kuna majani ukienda porini au mashambani yana vimbegu vyeusi ambavyo vinanasa nguo..[/QUOTE]Kuna TE="Denis denny, post: 17273253, member: 104402"]Mkuu nisaidie hilo la Vinasa nguo ndo nini?
tutor naomba namba yako ya cm pm au hapa hapa kama hauto jarChukua kitunguu, katakata sles, chukua chujio, weka sless za vitunguu maji kisha funika na karatasi juu - tumia gundi kuzuia karatasi isidondoke, funga kamba kisha ninginiza ndani ya banda la kuku.
Kina ninapoanza matumizi ya dawa yoyote nahakikisha naitumia kwa siku 5 mfululizo. Mfano, wiki ya Aloevera lazima nikianza jumatatu, naishia Ijumaa. Kuhusu namna ya kuandaa maelezo yake yako sehemu nyingi kwenye threads mbali mbali.Ushauri Mzuri Lakin Maelezo Hayaatoshi
Ungeeleza Unatumiajae Hivyo Vitu?
Mkuu nisaidie hilo la Vinasa nguo ndo nini?
Wapiganaji habari za leo ...