Ushuhuda kuhusu 'Dada Poa'

Vipi ulimchakata?
 
Ndiyo ukweli wenyewe....Au nasema uongo ndugu zangu?
Huyu cocacolastic namjua tokea kitambo[emoji1],naskia jamaa sio poa ila ni kaka poa kweliii uandishi wake tu unajidhihirisha et mxieeew jishikilie hahaa
 
Kweli.
jiulize wale wanaojiuza telegram dau lao kuanzia elfu 50 KUENDELEA.Kila siku akiingiza elfu 50.kwa mwezi ana Bei gani?
Wale wa telegram wanapiga hela kinoma aisee,ni balaa [emoji1]
 
Mkuu biashara ni matangazo,,

Tupia hata picha yake ,,,pengine tunaweza kumuungisha.
 
Kwahiyo na wewe wataka jiunga?
 
Huyu cocacolastic namjua tokea kitambo[emoji1],naskia jamaa sio poa ila ni kaka poa kweliii uandishi wake tu unajidhihirisha et mxieeew jishikilie hahaa
Unajua maan ya kaka poa?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaaaax.
 
Oh hao wanatembea na mgodi katikati ya mapaja.
Mwanamke yoyote mzuri akishindwa kuishi vizuri hapa mjini ni ujinga wake.
 
Kwa ari ilivyo hii biashara inakuwa kwa kasi sana hapa nchini

Mi nadhani huu ni muda mwafaka kwa serikali yetu kuirasimisha hii biashara

Serikali ikusanye kodi kwenye hii biashara, iangaliwe namna ya kuiweka hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…