Mkuu Billie hebu soma hapa au chaguwa yoyote unayoitaka kujuwa faida za Tiba ya mkojo bonyeza hapa P.H.D - Google Search
Au hii Bonyeza hapa Urine Therapy - Omaha's Heartland Healing Center
Au bonyeza hii hapa Urine Therapy - Benefits, Facts and Uses of Urine
Au hii hapahttp://www.earthtym.net/ref-UT-notes-1.htm Mkuu usione Tabu kusoma faida ya Tiba ya mkojo.
Dawa ninayo utachangi kidogo mkuu.
NdioInaponya kabisa permanently?
Ndio
Hmmm hivi mkojo sio sumu? hauez kwenda kuharib figo,,,?Dawa ya vidonda vya tumbo Mfahamishe huyo Dada anayeumwa na Vidonda vya Tumbo atumie Dawa ya Hii ya Kienyeji Akiamka Asubuhi kabla ya kula kitu akojowe mkojo wake mwenyewe kwa kipimo cha Glasi moja awe anakunywa mkojo wake kila siku Asubuhi kabla ya kula kitu kwa muda wa Siku Saba kisha Aende kupima hivyo Vidonda vya Tumbo Vitapona na kukauka kabisa Mwambie ajaribu kutumia hiyo Dawa itamsaidia Sana.
chanzo.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/26847-dawa-ya-vidonda-vya-tumbo.html
https://www.jamiiforums.com/jamii-p...ako-mwenyewe-kama-huyu-nyani-anavyofanya.html
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/203168-umetenda-maajabu-siwezi-kueleza-3.html
Maziwa fresh na vidonda vya tumbo havipatani.... Ni swala la muda tuu.... Utaona ambavyo mgonjwa wako anazidiwa na hivyo vidonda vya tumbo.....Usipoze muda na dawa za huyo dada tafuta dawa nyingine...ila for the mean time mtafutie asali mpe kila asubuhi kabla hata hajanawa uso glas ya maziwa fresh kisha changanya na asali vijiko 2-3 pia mchana na usiku...pia msagie juisi ya karot mara kwa mara itapunguza maumivu