Mtu yeyote anaye mtuhumu Mh Mbowe namshangaa sana na inawezekana anaupungufu wa akili (Zezeta ) au ndo kwanza anaanza kujifunza siasa. Tanzania inavyama vyenye wenyeviti zaidi ya 22, hivyo njoo na data halisi tueleze ni mwenyekiti gani tokea awe mwenyekiti wa chama husika amepoteza au amepata. Kwa takwimu Mh Mbowe tokea awe mwenyekiti wa chama kilichokuwa hakifahamiki kabisa kwa watu mwaka 2004( watu wengi walikuwa wanajua vyama vya siasa tanzania ni CCM, TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi tu) kwa miaka 10 tu ya uongozi wake CHADEMA kimekuwa chama chenye nguvu kuliko hata Chama tawala yaani CCM, kila uchaguzi wabunge wanaongezeka ( pekee tanzania), Madiwani wanaongezeka (pekee tanzania), Wenyeviti wa mitaa na vijiji wanaongezeka (pekee Tanzania), Kura za wagombea Urais zinaongezeka (pekee Tanzania). Sasa kama angekuwa Dhaifu yote haya yangetokea. Mpeni Mh Mbowe haki yake , amefanya kazi kubwa sana Tanzania na sijui kama kuna Mwenyekiti atakuja kumfikia kwa mafanikio kwenye Chama chochote. Nasema leo wewe JS utalaaniwa kabisa , huwezi kumtukana mtu aliye leta mafanikio makubwa hivyo. Je Mh Mbowe baada ya kuwa Mwenyekiti 2004 angekiua kabisa chadema kama alivyofanya TLP, UDP, nk huo umaarufu unaokutesa ungeupata wapi? Naapa utalaaniwa kabisa hii ni sawa na kumtukana mama yako aliye kuzaa na kukulea kwa kuwa angeamua kukuua angekuua tu hivyo hivyo kwa Mbowe angeiua CDM sijui kama ungekuwa hapo ulipo wewe ******.
U must feel sorry for what u have as a leaders huko kwenu opposition, maana kama isingelikuwa kwa juhudi za watawala Tanzania would stink and sink..!!
Ni kweli kabisa kwa sasa mbowe apumzike tu awaachie na wengine maana maji ni marefu kwa sasa.Cdm imeingiliwa na mdudu unaitwa
Fuata mkumbo
Zidumu fikra za Mbowe hatakama ni Ugoro mtupu.
Vijana wengi CHADEMA hawatumii akili kitafakari anayo yaropoka Mwenyekiti wao.
Mbowe Hana uwezo kuiongoza cdm ya sasa
Anatumia ubabe
"Akili ndogo kuongoza Akili kubwa"
Cdm imeingiliwa na mdudu unaitwa
Fuata mkumbo
Zidumu fikra za Mbowe hatakama ni Ugoro mtupu.
Vijana wengi CHADEMA hawatumii akili kitafakari anayo yaropoka Mwenyekiti wao.
Mbowe Hana uwezo kuiongoza cdm ya sasa
Anatumia ubabe
"Akili ndogo kuongoza Akili kubwa"
Bavicha walipoteza jembe, sasa linawalima wenyewe, hapo bado yule mama wa bagamoyo university
Waliangalia faida ya mda mfupi, walisahu malengo ya mda mrefuHilo lilikuwa kosa moja kubwa sana la kiufundi sijui nani aliwashauri kuchukua kinyesi chooni Na kukileta sebuleni.
Kama hana uwezo wa kuongoza nadhani ingekuwa ni furaha kwenu maana chadema ingekufa,lakini kwa hizi porojo inaonyesha kawashika makalioni.
Hiki Hawezi kujibu pia,anachungulia chungulia tuu.....wewe mtoto wa kike ni mnafiki!
unajidai kupenda mabadiliko, ikawaje ukimbilie ccm?!, huko ndiko kuna mabadiliko uliyokuwaukiyataka ukiwa Chadema?
Ukweli ni kwamba, unaongozwa na tumbo!, ni mjinga pekee atakaeamini hizi ngonjera ulizoandika hapa!, kama kweli ungekuwa mpenda mabadiliko kwa dhati, ungetafuta chama kingine cha upinzani ujiunge nacho,au ungeanzisha chako kama una huo ubavu!
Kelele nyingi... Mbowe this, Mbowe that, what for!, km chama ni kundi la watu na tumafahamu hawa watu lazima wawe na mtazamo unaofanana ili chama kiendelee, kutofautiana mawazo kupo, sababu binadamu hatufanani akili, wapo wenye akili ndogo km yako!( unaleta personal attack huku!), halafu unajiita msomi wa PhD!, na wapo wenye akili kubwa wanaoelewa maana na madhila ya upinzani Tanzania.
Nimalizie kwa kuuliza ewe mnafiki; huko ccm ulikokwenda umeshawahi kujitokeza hadharani kunyooshea kidole m/kiti?, au huyo m/kiti wako wa sasa ni mtakatifu hana shida sio!
Kuwa mwanasiasa wa Tanzania tena kijana km wewe lazima uwe na akili mpya, utazame changamoto zinazolikumba taifa kwa sasa na utuoneshe namna gani ya kujikwamua, juzi tu bungeni ulikuwa unapiga domo kwa yale spika anayofanyia wabunge wa upinzani, ukamsifu kwa ku-refer vitabu vitakatifu!, japo ulikuwa unaongea huku unatetemeka!, jinsi dhamira ilivyokuwa ikikusuta!
Bibie unaongozwa na tumbo, na unalitetea tumbo, the rest is blah blah as usual from you!
Bibie mimi sina chama na hii inanisaidia sana kuwa critic wa yeyote. Najaribu kujiuliza sana kutokna na common sense though it is not common, kwamba kwanini watu wote wanaotoka CHADEMA ni outspoken na watu waliovizuri kichwani kuanzia wewe, Zitto, kama sikosei Kafulila na Dr na wengine ambao siwafahamu? Inawezekanaje watu wenye uwezo mkubwa sana kisiasa wanafukuzwa chama hivihivi tu ukiangalia si kwa manufaa ya chama bali ya watu fulani. Surprise kubwa ilinishika wakati CHADEMA kwa mikono miwili ilipomchukua LOWASSA, kwakweli nilipoteza imani sana na chama hiki kilichokuwa mahiri na no matter nini wanasema niweka heshima kubwa sana kwa Dr. Slaa kwa maamuzi aliyofanya kwa alichoamini. Kila aliyemuhimu anapotoka kwenye chama hiki, wanakuja na very simple reason kuwa MSALITI. Nikitazama pia watu wengine wenye elimu zao na uwezo mkubwa kama Prof Safari na Baregu hawana sauti zile zinazostahili kutikana na jinsi walivyo hivyo najiuliza kunani CHADEMA?Umesema kweli, lakini naendelea kujiuliza wana nini watu hata mioyo yao ikubali kufungwa, wakubali kuwa watumwa na manamba wa fikra na mitazamo. maana watu hawa wamekuwa kama Nanga ya Merikebu, wanasubiri kuzingwa kwa kamba na kuzamishwa majini.
Hiki Hawezi kujibu pia,anachungulia chungulia tuu