Said Bandar
Member
- Jun 3, 2022
- 83
- 211
Nawasalimu nyote wakuu na wadogo wenzangu. Kwa majina naitwa Benjamin mchopa, mzawa wa Kanda la Ziwa.
Post hii ni kwenu nyinyi niwape tahadhari hata upate funzo ila usipopata ni sawa, Mungu wetu sote.
Nlizaliwa mwaka wa 1992 na nlikuwa mwerevu mno toka darasa za chekechea, upili nlipita kwa alama za juu mno.
Nilifanikiwa kupata scholarship nikaenda kusomea Chuo Kikuu Cha Nairobi, Kenya uanasheria (LLB) nikahitimu first class, niliproceed LLM in energy law, Havard.
Nilirudi nyumbani bongo nikaanzisha law firm Dar na ilinawiri kweli, kufika ndani ya miaka miwili after kurudi nilikuwa na lorry zangu kumi though zilikuwa zinasafirisha mazao toka bongo Hadi soko za Githunguri, Kariakor(Nbi), Gikomba n.k hata mwembe tayari Mombasa Kenya. Yote haya nichangie kusaidia wakulima bongo jambo ambalo lilinipa furaha.
Nafasi miezi minane iliyopita kwa kuwa nili-pursue Energy law Masters na tupo wachache kwenye hili discipline bongo nikaangukia consultancy na Serikali viwanda vya gesi kwa niaba ya Serikali Kuu katika nyanja za Legal policy frameworks in mining, extraction na social development.
Ebanae baada ya mateso kusoma na shida nilipata fursa ya kuwasaidia wazazi wangu na ndugu zangu wawili wa kike, maisha yalikuwa sawa, pesa niliogelea nazo wangwana. Yaani benki nlikuwa napiga VIP sihitaji ATM.
Licha ya yote haya sikumdharau yeyote, niliheshimu kila mtu mpaka wazee kijijini waliishia kushangaa. Hela ndefu ila nipo mnyenyekevu kupitiliza.
Siwezi hesabu boma ngapi zilitaka nioe kwao, Ila kizazaa kilianza nilipoonyesha kwa mbali kuna Binti nilimpenda pale kijijini. Sikuwa nimefikia kutoa posa wala sikuwa nimekula hata mzigo.
Takriban miezi mitatu iliyopita mambo yangu yalianza kuyumba, kiafya mno mpaka kazini nikapewa off ya kilazima nikapate matibabu, kortini tena siwezi kwenda, yaani tumbo linanguruma utadhani fuso lapita .
Nikiwa hospitali yaani likinguruma mpaka kila mtu kimya, sauti tu ya radi vile, maumivu usiseme.
Nimezunguka Sauzi, Nairobi, Dubai hospitali nane nje hapa nchini ndo usiseme, millioni 276 so far imeliwa hivyo tu bila kusaidika
Wiki imepita lorry nne zimeanguka cha kushangaza dereva na mizigo haiaribiki ni gari tu laaribika beyond repair, yale mengine TRA, makesi ya kishenzi tu (hili najua sababu mie wakili, kesi hazina standing kabisa) zimezuka .
Dada anayenifuata aliposafiri Moshi kufuatilia kesi alipigwa na ajali ila gari wapo wanne ni yeye tu aliyeumia tena vibaya sana ,ila namshukuru Mungu anarecover .
Yaani nahisi nipo under attack, amani imesepa, sijui nigeukie wapi..
Wazee wa kikao(washkaji) wamekuja nicheki hospitali wanadai nachezewa na mtu kichawi, nimesoma Sana so Imani hizo sikuwa nazo lakini sasa naona kama lipo ukweli hapo kuhusu hilo. Yaani utajiri, afya, hata furaha kwa familia imepotea, bad news after another .
Nikivuta taswira sipati picha nilimkosea nani? Yaani mie na ugomvi ni njia panda zisizopatana, nimesomesha mpaka watoto wa majirani mjini na kijijini ilimradi wapenye nao, nimejenga mpaka madarasa ya shule niliyosomea kijijini ilimradi nisaidie jamii, kikuu nilijua hizi pesa nitakufa niziache, kwa hiyo kile Mungu alinipa nami nilijidhatiti nigawe kwa wengine kwa heshima .
Hata uzinduzi wa nilizojenga nlikuwa siendi, natuma mtu. Yaani ni mtu Fulani sipendi kujigamba .
Mungu mbona unaangalia nikiteseka hivi? Mbona nimesahulika?
Wachawi na wazee wakulungwa nliwafanyia nni ndo mnifanyie haya?
Daah Dunia imenigeuka, nyota yangu iliyokuwa iking'aa sijui ndo vpi?
Hivi mnaologa Kama ni kweli hamuoni athari za kazi watakaopoteza, wanafunzi nnaosomesha wakikosa ada?
Ofisini japo nimeajiri wakili 6 ila ni mojawapo ya mchango kwa jamii. Haya basi Kama ni Mali simngechukua afya na furaha mniachie?
Wazee wa ndagu, wakulungwa ebana ehh imetosha !!! Ila siku yenu yaja naamini !!!
Daaah!!!!