Ushuhuda: Damu ya paka ni uchawi mbaya sana

Nejad Rocket

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2017
Posts
298
Reaction score
197
Wadau habari zenu
Katika mazungumzo ya vijiweni jana kuna jamaa akatukatia kuwa ukichinja paka ukamwaga damu mlangoni kwa mtu, wote wanaoishi hapo watapata mikosi mfululizo.

Nilijaribu kwa mtu niliyemlenga amechakaa sana hivi aasa. Nawashauri msijaribu ni hatari sana.
 
Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.
Mazungumzo yamefanyika jana, na jana hiyohiyo ukajaribu na matokeo ukayaona jana
 
Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.
Kwa huu utawala mbona mtu kuchakaa ni kawaida sana mkuu..! wala usifikirie eti hiyo damu ya nyau ndo chanzo cha kuchakaa huyo jamaa pengine alitumbuliwa au amefungiwa biashara yake na TRA
 
na wewe lazima ulipwe kwa ulicho mfanyia mwenzako.
 
Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.
Nenda katubu kwa uliyemfanyia..
 
Wadau Hbr Zenu.Katika Mazungumzo Ya Vijiweni Jana Kuna Jamaa Akatukatia Kuwa Ukichinja Paka Ukamwaga Damu Mlangoni Kwa Mtu Wote Wanaoishi Hapo Watapata Mikosi Mfululizo.Nilijaribu Kwa Mtu Niliyemlenga Amechakaa Sana Hivi Sasa.Nawashauri Msijaribu Ni Hatari Sana.Natubu.
Umesema jana leo amechakaa sana. Vpi wewe?
Jifunze uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio Ile Ile Siku Asubuhi Yake Kapata Mabalaa Mfululizo Yanayopukutisha Pesa Ugomvi Na Mkewe Mpaka Sasa Haujaisha.Lakini Pia Nilimlenga Kwa Kukusudia Tuna Uhasama Kati Yetu Hv Sasa Mwanae Kakamwatwa Kaibamiza Pikipiki Ya Watu Na Alilazimisha Apewe Eti Apige Msele Mwenyewe Anataka Alipwe 450000 Akatengeneze Toyo Yake
 
Vp [HASHTAG]#colly[/HASHTAG] Nije Kwako Nimwage Halafu Uje Utoe Ushuhuda Na Wewe?
 
damu ya paka unachakaa kwa masaa,akikaa wiki si watazika kabisa,huyu jamaa ni fix sana khaa!
 
Back
Top Bottom