Candy kisses
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 297
- 211
sasa wewe mtu wa hivo umetoka nae wapi? huo upole wako utakucost assume siku umepata mpenzi unadhani atamuacha? unajichimbia kaburi wewe mwenyewe!
mwambie black and white akuwache upumue!
Kwanini usiulize "MIMI NI NORMAL KWELI" kwasababu huyo shost wako anaweza akawa anajiuliza hicho hicho unachojiuliza.
Nnachokiona hapo ni mtu ambae wewe binafsi hujamkubali. Mnatofautiana sana kwahiyo kila anachofanya we unamshangaa. Kingine ni kwamba wewe unajikubali sana na uko busy kujiaminisha kwamba ni zaidi ya huyo mwenzio, na ndio maana bado uko nae mpaka unafikia kumkaribisha kwako ili uzidi kujiweka juu.
Humkubali dada wa watu, MPOTEZEE. Atafute marafiki wanaofanana na yeye.
Basi mpotezee. . .Usiwe na rafiki ambae muda mwingi unatumia kumshangaa.Lizzy my dear kama kuna kitu ambacho siwezi nikujiona mi niko juu ya mwingine japo hapa facts speak for themselves kua kwa kiasi Fulani nimemzidi japo kwangu hilo si tatizo....kama umenielewa tatizo ni jinsi yeye alivyochangamka sana yani kama katiwa ndimu...she is here,there and everywhere!Kitu or character ambayo mi sina.
Na kumkaribisha kwangu its a different story bt ye ndo aliinitiate nikaona sio vibaya aje....otherwise maybe its true labda sijamkubali or labda kwa usahihi ni tabia zake ambazo sijazikubali!!!!
Basi mpotezee. . .Usiwe na rafiki ambae muda mwingi unatumia kumshangaa.
Sweetheart yani hizo ndo vikwazo vya urafiki nnavyosema bora uishi kivyako mbaki kusalimiana na kusaidiana inapobidi otherwise maisha yako tu yanatosha kukukeep bussy sana tu!!Achana na huo ushosti wa ushindani na kutambiana, if it was real friendship mngekuwa mnashauriana how to help each other wote mpande,either by advicing each other or any other way!I had 2 friends that I valued so much,we were so close at a point I even took my time and energy to help them spot every opportunity I saw just to see my friends rise but they kept bringing envious comparisons and kunitambia stuff I helped them with!they took advantage of me huku wakinibeza I tried keeping off they said I don't wanna hang out with them naringa coz I got a job (I used to work now we all back to school different universities) Mara naringa I don't wanna hang out with them coz hawana magari mind you safari zetu zote ni bajaj na daladala I kept helping them ,ignoring the other part but ikazidi now am off them for good!!ni salam tu and it feels good not to be close to people who only take advantage of you and coming up with envious comparisons don't let this friend of yours come up with that!!sina shosti wa kushibana and I am very comfortable with my life!stay true to your self Dada jua unachokitaka and live your life!
Wewe ndio una matatizo mwenzako kakuona star na anataka akuige ili naye awe juu kama wewe halafu unakereka; kila mtu ana starring wake katika maisha inabidi uwe mvumilivu ila weka mipaka ambayo hatakiwi kuivuka mwenyewe akiona soo atakuwa anakopi kwsa mbali sio kwa kukusogelea sana
....yet still ashawahi
kuni add kwa group flani hv la watsapp "la wadada" nkajua litakua zuri
la maana bt humo ni full kudiscuss watu,kujadili Wema kafanyaje,Lulu
yupoje nani anatoka na nani plus mambo ya wanaume unapateje kazi za
nje(wanaume wa nje),unaweza kucheat bila kujulikana yani that kinda
stuff na show off kwa sana.....nilijitoa bila hata kuaga!!
Yani kwa ufupi nashangaa kwanini hafikirii v2 vya maana/vya kimaendeleo
seriously age za kushindana na kushow off mi naona zimepitwa na
wakati....