mtu akifa inabidi mfurahie tu maana kila nafsi itaonja mauti,kizuri zaidi aliyekufa haelewi kuhusu lolote linalokuwa limebakia duniani,yaani anakuwa amepata pumziko la milele,baada ya tabu lawama na misukosuko ya hii dunia ambayo ni tambala bovu!Sare misibani huendana na saa zingine watu kupimwa vipimo na nguo kwenda kushonwa na hata wengine kuulizaa anataka mshono gani na kadhalka.
Huwa najiuliza hivi umeondokewa na mpendwa wako ulie kuwa unampenda mno either mtoto/Mke/Mme/Baba/Mama/Babu/Bibi na kadhalika hivi kweli kwa majonzi yale kuna muda kweli wa kupimana vipimo vya kushona nguo?
kwa huzuni ile nani anakuwa na hamu ya kupimwa kwamba akashonewe sare?
Unless kama kila mtu ana definition yake ya majonzi.
Ndo hao wafiwa wanapima mkuu japokuwa wana huzuni.Sare misibani huendana na saa zingine watu kupimwa vipimo na nguo kwenda kushonwa na hata wengine kuulizaa anataka mshono gani na kadhalka.
Huwa najiuliza hivi umeondokewa na mpendwa wako ulie kuwa unampenda mno either mtoto/Mke/Mme/Baba/Mama/Babu/Bibi na kadhalika hivi kweli kwa majonzi yale kuna muda kweli wa kupimana vipimo vya kushona nguo?
kwa huzuni ile nani anakuwa na hamu ya kupimwa kwamba akashonewe sare?
Unless kama kila mtu ana definition yake ya majonzi.
kuna tabisa hasa ya wasichana kuonyeshana kwamba msiba wao ulifana..lakini hakuna lolote zaidi ya ulimbukeniSare misibani huendana na saa zingine watu kupimwa vipimo na nguo kwenda kushonwa na hata wengine kuulizaa anataka mshono gani na kadhalka.