EmenMuda mwingine shetani nae hupita kwenye maonyo. Yaani ukitaja kitu kiovu ili ukikemee basi shetani linapata kundi la kuanza nalo pale pale kwenye waonywaji wako. Yaani hii topic nzuri kujadiliwa lakini wapo wataoukumbuka ufirauni wao na kuwatafuta hao wakemewa na walaaniwa. Ewe Muumba wa mbingu na ardhi tujaalie waja wako mwisho mwema na Umpumzishe shetani nguvu zake kwenye makemeo yetu.
Kwa iyo tunaovuta 'kitu' wote tunakula mashoga!!!!?mie najiulizaga inakuwa mwanamume unamla mwanamume mwenzio, kama si ushetani uliopitiliza nini au uanvuta bangi kidogo sijui