Jerick06
Member
- May 2, 2014
- 51
- 15
Nimesikitishwa sana sana na sheria za Marekani pamoja na viongozi wake, akiwamo Potus Barack Obama, John Kerry pamoja na vioo vya jamii, kama Leonardo DiCaprio.
Jamani, mimi si-support hata kidogo USHOGA pamoja na ITIKADI ZAKE. Pengine Kwangu ndo Ikawa ndio sababu ya kutokutembelea au kuingia nchi yoyote inayosupport ushoga, kwanini isiwezakane. Ni nadhiri tu.
Kama ndio maendeleo basi ninafurahi kuitwa SOKWE tena kurudi nyuma zaidi ya sokwe hata uniite zinjathropus. Najua nina marafiki walio katika nchi zinazo support ushoga, hii post sio kwa ajili ya kuharibu mahusihano yetu kama marafiki au jamaa wa karibu. Kwani naamini hata wao wanachukua na wanapiga vita masuala ya USHOGA kuanzia katika familia zao hadi jumuiya ya watu kwa ujumla.
Mimi sija-support na nimekerwa sana.