Ushiru Wa kurudisha Maiti Dar

Ushiru Wa kurudisha Maiti Dar

killo

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2008
Posts
401
Reaction score
94
Habari wapendwa,

Naomba kuuliza, eti kama hata mimi nikienda nje ya nchi yetu Pendwa Tanzania na ikatokea bahati mbaya nimefariki, ndugu zangu wakaamua kuurudisha mwili Tanzania kwaajili ya maziko,

SWALI: Naamini mtanzania ni mtanzania tu japokuwa haja ukana utanzania wake, Huu mwili/maiti inatozwa ushuru?

Ni hayo tuu, naomba kujuliswa / kuelimishwa...

Akhsanteni..
 
18% VAT ya thamani yako + Import Duty + Railway leavy
Mkuu hapo ndo umeniacha kwenye mataa kabisa sijaelewa... Naomba uwe makini katika ufafanuzi ili nipate kuelewa..!!!
 
Namkienda huko muhakikishe mmeacha hela za kusafirishia miili yenu ikitokea mmefia huko.
 
Nakuelemisha. Maiti sio bidhaa hivyo haina ushuru wala kodi. Itatumika passport yake tu ambayo itaandikwa kuwa amefariki.
 
Chukua umri wako + bei ya bando ulilo unga -- uwezo wako wa kufikili ulipo ishia = utapata gharama zote
 
Ushuru ikiwa na thamani gani? Yaani maiti ni bidhaa? Mambo mengine WaTz ndio tunapotia aibu!

Back
Top Bottom