kabintispecial
Member
- Feb 16, 2014
- 67
- 31
Uganga wa jadi, ushirikina, na imani ya mungu vyote ni utapeli tu.
Ehe..ata imani ya mungu tena?
nimependa hiyo ID....ila waganga wanaoibuka kwa jina la yesu ndo matapeli walioijaza dunia kwa sasa!
ulienda na huyo jamaa yako kwa mganga?
Uliona wapi mtu anakushirika kwenye hayo mambo.?mtu anafanya mwenywe akitapeliwa ndo anasema
kwa kumfanya kuwa kinga yake! AMENAmelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu....