Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 305
- 1,169
Mimi nashangaa kweli soka letu la bongo, Yanga wanaelekea kutwaa ubingwa msimu huu lakini mara baada ya mpira kuisha, wakaanza kufukia vitu uwanjani.
Makomandoo wa Simba walipoona hivyo, wakazama uwanjani na mwenda kuchimbia vya kwao, sasa najiuliza Yanga anasema ana timu nzuri haijapata kutokea, ushirikina wa nn sasa, we c unajua soka, mambo ya kalungayeye ya nini?
Simba nao wametoka kushiriki ligi ya mabingwa lakini kila kukicha mambo ya kufukiza ndio hayo hayo.
Simba na Yanga wote vichaka vya wapigaji tu