Ushirikina na unyanyasaji wa maalbino

Ushirikina na unyanyasaji wa maalbino

mdau wetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
548
Reaction score
62
Hivi Watanzania watastaarabika lini na kuacha ushirikina hasa wa kuwanyofoa viungo maalbino
 
Pesa ni shetan na chanzo cha vifo vingi dunian,mungu anatusaidie tu!
 
hivi watu wa kanda yaziwa watastaarabika lini kila siku wanauana kinyama na kuendeleza ujinga
asilimia kubwa ya mauaji ya kutisha kama sio shinyanga ni mwanza
 
Na nondo za huko mwakaleli! Ushirikina
ni upumbav wa kiwango cha juu mno
 
Back
Top Bottom