SAINT MATATA
Member
- Dec 5, 2022
- 21
- 34
Balaa tupu!Ungemla uyo chura na chai mkuu
Chura ni matacall hapa town au ?Man down......
Acha waje wanaojifanya hawaamini hizo mambo[emoji38][emoji38]
Yawezekana ulichoandika ni kweli, tatizo staili yako ya uandishi imekaa kimasihara.Leo ni wikiendi na kwa kiasi kikubwa upande wangu mishemishe za utafutaji huwa zinapungua kiasi. Muda si mrefu nimeingia mgahawani kwa ajili ya kupata breakfast.
Nilipofika, wahudumu walikuwa busy kiasi jikoni basi nikaamua kuendea meza ya vyombo ili nichukue kikombe nimimine chai.
Pembeni ya vikombe vya chai kuna kikombe kikubwa mithili ya jagi kimefunikwa na kimewekewa kitambaa chekundu juu, kitambaa ni safi kabisa.
Nikashawishika kukigusa kutaka kuangalia mule kumefunikwa nini. Aisee! Kuna bonge la chura kafunikwa humo. Nimerudishia tu nikaondoka kimya kimya.
Hiyo ni common sana, wengine wanaweka machupi yao kwenye sufuria la chaiKuna wengine maji ya wali wanachambia kwanza,, wali unawiva umenyooka vizuri π€·πΎββοΈ
Chai inakua na test fulani unique πHiyo ni common sana, wengine wanaweka machupi yao kwenye sufuria la chai
Balaa tupu
Wengine tumeshakula sana, tangu form one mpaka form six, Kisha miaka mitano ya chuoni, more than 10 years ya kula kwa mama ntilieHizo story mtaacha kula migahawani shauri yenuuππππ...mtapata story za hovyooo humuu mtapoteana
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna wengine maji ya wali wanachambia kwanza,, wali unawiva umenyooka vizuri π€·πΎββοΈ
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo ni wikiendi na kwa kiasi kikubwa upande wangu mishemishe za utafutaji huwa zinapungua kiasi. Muda si mrefu nimeingia mgahawani kwa ajili ya kupata breakfast.