Ushirikina kwenye maendeleo

Ushirikina kwenye maendeleo

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
2,339
Reaction score
5,675
Wakuu mnapigaje hapo.
Hamjatekwa tu na wasiojulikana ( uvccm )

Kuna sehemu nilinunua eneo heka 1 lengo likiwa n kuweka mradi wa mifugo mbuzi. Wakati naendelea na ujenzi wa mabanda kuna mama alikuja maeneo hayo akawauliza mafundi kwamba niin kinataka kufanyka wakamjibu unawekwa mradi wa mbuzi.

Yule mbibi akawaambia mafundi hao watu wataweza? Swali tata kbs, wakati huohuo kuna mjeda alinunua eneo hukohuko palipo na mradi wangu amekumbia boma na anauza kwa bei ya hasara.

Wakuu mpaka sasa mradi una miezi 2 bt tayari mbuzi 8 wameshakufa kwa ugonjwa usioeleweka kbs tiba zote wanapewa tena na daktari wa mifugo kbs. Leo tu wawili wamekufa asubuhi dogo wa kuchunga ananiambia amekuta mbuzi hao wamelala tu hawainuki wkt jana jioni tu nilikuwa huko mbuzi walikuwa buheri wa afya.

Kama hilo halitoshi kila nikileta mtu wa kuchunga ghafla tu anaacha yani hapa najiuliza nichukue hatua gani nifunge mradi au nifanyeje wakuu nipeni ushauri wanga siyo watu hawapendi maendeleo wkt huko wana maisha magumu sana.
 
Nasikiliza Clouds FM apa kuna jamaa anavoeleza --- unaona Ushirikina upooo
 
Mtafute huyo bibi akwambie ugumu wa kufuga mbuzi eneo hilo, yeye ndie atakuwa na dawa yake usihangaike kwa watu wa mbali.
 
Mtafute huyo bibi akwambie ugumu wa kufuga mbuzi eneo hilo, yeye ndie atakuwa na dawa yake usihangaike kwa watu wa mbali.
ugumu upi sasa uzuri mi naish vema sn na majiran ingawa muda mwng sipo naendaga kukagua tu yupo mchungaji naye huwa namwambia akae vema na wenyeji malisho yapo maji yapo ugumu upi sasa zaid ya uchawi ujue wachawi hawataki maendeleo ya mtu sjawahi elewa n kwanini.
 
Waambie hao Washirikina tusaidiane kama Taifa na Bara la Afrika kwa ujumla tuondokane na hizi Marginalization za Mataifa ya mbali ambapo tumefanywa kuendelea kuwa Masikini wakati kumbe ujuzi tunao

Au kama vipi badala ya kuuza Bandari na Kuwafukuza wamasai tulete wawekezaji wakodi hilo eneo (uone kama hawatapiga bingo)

Moral of the story ukiamini na kuendekeza ushirikina basi utakushirikisha..., hata ukiamua kuona wafu (mind over matter) utawaona tu....
 
Utafanza kazi ya kujitibia kipa siku hapo. Sikushaur uendelee kupambana mbele za hao watu mtashindana tu. Uchawi ni tamaduni inayokamatana na aina fulani za mitazamo ya watu kichwan
 
hapana ni huku kanda ya ziwa.
Huko Kanda ya ziwa ni balaa...niliwahi kukimbia mji wangu kabisa WA over 35m na kwenda kupanga ...na baadae niliamua kuhama kabisa hiyo wilaya...
NB:UCHAWI USIKIE TU KWA MTU AU KUSIMULIWA KAMA HIVI ILA UKIKUTANA NAO HUHARIBU AKILI KABISA
 
Unanunua eneo Gamboshi!! What you expect!!!?
 
Back
Top Bottom