Ushirikina katika ngono na Manii

Ushirikina katika ngono na Manii

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,589
Reaction score
830,251
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi. Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani.

Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo:-

1. Kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha. Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako.

2. Kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga. Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao.

3. Kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi. Na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima.

4. Ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza.

Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi. Mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika.

Jiepushe na haya kwa:

1. Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
2. Kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
3. Kuepuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
 
Mkuu kama hali ni hiyo kumkwepa mchawi ni kazi sana, yote utafanya ila kimbembe sasa usiku wanapokuja kujipimia na vikombe vyao... Mungu atuokoe tu. Sasa utawezaje kufahamu mtoto wako kazaliwa mshirikina? mshana jr
Hawa watoto wenye single parent wengi ni wahanga wa haya mambo ndio maana nimetahadharisha kuhusu vimada na nyumba ndogo
 
Yetu macho
Jiulize ni kwanini baadhi ya watoto wa nje wanakuwa ni janga katika Familia na hata kusababisha familia kusambaratika huku wengine hao hao wakiwa ni Baraka kubwa
AU ni mtoto wa ndani ya ndoa lakini akawa tatizo kubwa hapo jua kuna kitu cha kawaida kilifanyika... Kikubwa kikiwa ni ushirikina
 
Hawa watoto wenye single mothers wengi ni wahanga wa haya mambo ndio maana nimetahadharisha kuhusu vimada na nyumba ndogo
Mkuu,inasemekana pia hao watoto wa aina hiyo wanavitu flani special vismart hivi hasa wale ambao wazazi wao wa kiume walikula nduki pia wanapendwa Sana na jumuiya za kishetani😕kuna ukweli wowote hapo???..
 
Licha ya kutumika kuzalisha watoto wenye mihuri ya kichawi lakini pia hutumika kuvuta na kuvutia kwenye mahusiano
1453153436138.jpg
kwahiyo manii zako ni kitu cha thamani kinachotakiwa kulindwa kuliko inavyoweza kufikirika
 
Mojawapo wa vizazi vya duniani ni kizazi cha wachawi washirika na walozi..... Hii ni jamii inayofanya kila mbinu kujitanua na kujijengea himaya kubwa na yenye nguvu zaidi duniani
Kwenye ulimwengu wa kishirikina, mchawi mzuri na wa uhakika si yule wa kurithishwa au kufunzwa duniani (kwenye post zilizopita tumeona kuna vyuo vya kishirikina) hawa wanakuwa si halisi hawa wana damu na makandokando ya kiimani na starehe za kidunia, kwahiyo wachawi hufanya kila aina ya mbinu kupata kizazi chao kisichochakachuliwa kwa njia zifuatazo
1: kutumia wanawake wanaojiuza, vyovyote ufanyavyo ukifanya naye ngono kwa kondom au bila kondom lazima manii zako utaziacha... Kujiokoa na hili tumia kondom kisha ukimaliza kufanya dhambi zako katupe chooni usikubali yeye ndio afanye hiyo kazi itakula kwako

2: kutumia mahawara na nyumba ndogo wanaopenda kwenda kwa waganga... Yeye atatumwa manii zako ili atengenezewe dawa kumbe ndio watu wanazichukua wakafanyie yao

3: kupenda kujichua, mara nyingi hii watu hufanyia bafuni kule nako watu huweka mtego yao na kuchukua malighafi ....na hii mara nyingi ni kwa wale watu wazima
4:ndoto nyevu na kuota unafanya mapenzi mpaka unatoa manii kabisa, hii mara nyingi huwatokea wale Wenye kuleta nyodo kwa wanawake na kujisikia kulikopitiliza

Manii hizi huchanganywa na madawa na kwa njia za kishirikina huwekewa wanawake wenye mimba changa au mimba zinazotunga na kulea mimba ya kichawi mpaka mtoto anazaliwa akiwa mchawi, mtoto wa namna hii huwa agent tangu kuzaliwa kwahiyo hata ahubiriweje hawezi kubadilika
Jiepushe na haya kwa:
-Kuwa na mwenza mmoja mwaminifu
-kuhifadhi manii zako vizuri kwa namna yoyote ile na kwa hali yoyote ile, hakikisha haziangukii mikononi mwa yeyote
-epuka uwezavyo kufanya masturbation na kufanya mapenzi na watu usiowafahamu
Kwa njia hii utasaidia mno kudhoofisha kizazi cha kichawi na kishirikina
Khe khe khe mweh!! Unatuogopesha
 
Mkuu,inasemekana pia hao watoto wa aina hiyo wanavitu flani special vismart hivi hasa wale ambao wazazi wao wa kiume walikula nduki pia wanapendwa Sana na jumuiya za kishetani😕kuna ukweli wowote hapo???..
Watoto wa kichawi huandaliwa wa kila sekta na kila daraja la maisha, jamaa huhakikisha wana mtu/watu wao kila pahala
 
Back
Top Bottom