Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Aweke security kamera aone huwa anaibiwa kivipi?
teh,teh,teh,Aweke security kamera aone huwa anaibiwa kivipi?
hii nimeipenda kwani ni ushauri mzuri kwa condition aliyoweka jamaa ya kutoitaji mganga.Aweke security kamera aone huwa anaibiwa kivipi?
do pole sana mkuu,lakini watu wanakataa et hamna kitu cha hivyo nafikili haijawatokeaKuna mama wa kichina alishanifanyia huu mchezo mara mbili, kuna siku nilienda kwake nikamlipa hela yake niliporudi nyumbani nikakuta $25 zimeyeyuka mifuko ya suruali haijatoboka hela
zingine zipo nikajipa moyo nimeidondosha, siku nyingine nikaenda tena kwa yule mama kupata huduma nilporudi nyumbani $25 tena hazipo hela nyingine mfukoni zipo.... ndio nikagundua mchezo wa mama wa kichina.
Haya madudu yapo jamani, wewe angalia process ya muhindi anapokupa hela it's whether anakupa kwa mkono wa kushoto au anaweka mezani sijui ndio anti-chumaulete![hawa jamaa huwa ni wachafu sana]
mkuu wengine tunaogopa waganga itakuje?Mwambie aje tabora nimpeleke kwa mtaalam.
Amini usiamin hiyo technology ipo,na ulinzi pia upo....jaribu kuwaona watu wanaouza sokoni,wanajua wapi wanatoa ant-chuma ulete.
mkuu amini usiamini uchawi upo na hata vitabu vya dini vimeeleza kuwa uchawi upoSi amini kama kuna uchawi bali ni illusion.Kuna watu wanaamini uchawi mpaka wanafikia point wana hallucinate.If your bro and friend are not one of them,can install cctv systems na watawona wachawi wa kweli
thax mkuuImani yako ndio kinga yako. Hakuna dawa kubwa kama imani inayopelekea wewe kujiamini. Kuna njia nyingi za kuongezea nguvu katika imani, mfano kutumia biblia au Quran.
Kitabu gani nani sehemu gani katika kitabu wame acknowledge existance of witchcraft?mkuu amini usiamini uchawi upo na hata vitabu vya dini vimeeleza kuwa uchawi upo
mkuu sikuombei ikutokee lakini kama ni mfanya biashara mdomdogo utakua tayali umeshakumbana nayo au itakupata tu
Kitabu gani nani sehemu gani katika kitabu wame acknowledge existance of witchcraft?
Kuna mama wa kichina alishanifanyia huu mchezo mara mbili, kuna siku nilienda kwake nikamlipa hela yake niliporudi nyumbani nikakuta $25 zimeyeyuka mifuko ya suruali haijatoboka hela zingine zipo nikajipa moyo nimeidondosha, siku nyingine nikaenda tena kwa yule mama kupata huduma nilporudi nyumbani $25 tena hazipo hela nyingine mfukoni zipo.... ndio nikagundua mchezo wa mama wa kichina.
Haya madudu yapo jamani, wewe angalia process ya muhindi anapokupa hela it's whether anakupa kwa mkono wa kushoto au anaweka mezani sijui ndio anti-chumaulete![hawa jamaa huwa ni wachafu sana]