Ushirikiano na Moyo

Ushirikiano na Moyo

Kahama- shy

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
1,951
Reaction score
2,693
Habari wanajamiiforum
Heri ya Pasaka,
Je wote pia ni wazima kabisa
Samahani ndugu zangu Jana nilitumiwa sms kutoka shule anayosoma mtoto na Mwl wake Toka January alianza chekechea sms hii
Screenshot_20250421-133737.jpg


Ndugu zangu kwa Sasa Hali yangu sio nzuri kabisa ni mtu tu wa vibarua hapa na pale kwa sikukuu hizi watu wapo busy sana na pasaka
kazi hakuna, na ada hiyo ni ya miezi 3 tu
Naomba msaada wenu, ndugu zangu hata kidogo kitakuwa na maana kubwa sana kwangu. Niko tayari kueleza zaidi kwa atakayehitaji ufafanuzi.
Ahsanteni sana na Mungu awabariki!
 
Niko tayari kueleza zaidi kwa atakayehitaji ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom