evance nicholaus
New Member
- Apr 11, 2019
- 1
- 0
habari wakuu!
mimi ni mjasiriamali mdogo mkazi wa sengerema-mwanza nimekua guest member wa jf kwa more than 2yrs mpaka nikafkia uamuz wa kujoin official , najihusisha na biashara ya kutoa mikopo midogomidogo kwa wakina mama wajasiriamali kwanzia tsh5000- tsh50,000/=, mfumo wa mkopo wangu ni wakurejesha kila siku limitation ya muda wa mkopo ni wiki2 tu, tsh10,000/= ina riba ya tsh4000 kwa wiki mbili, mfano mtu akikopa leo tsh10,000 kuanzia kesho ataanza kurejesha tsh1000/= mpaka siku 14 (wiki2) ambapo jumla atakua amelipa mkopo wa tsh10,000 na riba ya tsh4000, vivyo hivyo akikopa tsh20,000 atarejesha elfu2 kila siku, akikopa elfu50 atarejesha elfu5 kila siku, kwa maana hiyo mtaji wa laki1 unazaa faida ya elfu80 kwa mwez, laki5 inazaa faida ya laki4 kwa mwez , million1 inazaa faida ya laki8 kwa mwez, sasa demand imekua kubwa zaid kuliko capital yangu muamko wa wakinamama umekua mkubwa hivyo nimeshindwa kuwamudu, ndo maana ikanipelekea kuomba ushirikiano "business partners" watakaopendezwa na biashara yangu wawekeze tugawane faida.
naomba kuwasilisha, phone no 0743-126-434