Ushirikiano baina ya Majambazi na Wanajeshi

Ushirikiano baina ya Majambazi na Wanajeshi

Wa mmoja

Member
Joined
Aug 4, 2009
Posts
99
Reaction score
0
Inasemekana kwamba hawa majambazi walioiba katika Bank ya NMB wameshirikiana na Wanajeshi...Naomba kujuzwa zaidi kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu hilo.Taarifa ya habari ya chombo kimoja cha television kilisema "Sita wakamatwa,wanajeshi wahusika...kova agwaya kuwataja"
Kwa upande mwingine ukijiuliza sanaaaaa...jibu linakuja ndio wamehusika kwa sababu ukiangalia kwa namna moja au nyingine hawa majambazi walipata wapi hizo silaha za maangamizi?!kama vile hayo mabomu ya mkononi...!!!
Msaada wenu nauhitaji katika hili ili nipate kujua zaidi...!
 
I need your help jaman nilijue hili jambo kwa umakini..............!!!!
 
wanajeshi wetu hawana kazi so wanapractice mtaani
 
Lakini hili jambo linahitaji mda kuligagadua kwani hata mkuu wa polisi anasema wanashukiwa na sio kwamba wamehusika kwa hiyo naomba tutoe mda kwanza
 
wanajeshi wetu hawana kazi so wanapractice mtaani

Kabisa tangu vita ya Idd Amin hawaja practice tena mafunzo yao sasa unategemea nini na wengine tangu waajiriwe hawajawahi kutumia mabomu ya kurushwa kwa mkono sasa kwasababu wamezoe kuona kwenye TV na movie tu wakaona wajaribu waone kama kweli yanafanya kazi ama yalisha expire?
 
Yeyote mwenye kujua kama hawa majambazi walishirikiana na wanajeshi atufahamishe ili tuweze kujua kuhusu hili swala......!
 
Jamaa maisha yamekua magumu wanajaribu kila kiinachowezekana mkuu
 
Back
Top Bottom