Ushindi wa Rais mteule Dk John Magufuli wafunika kimataifa

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
USHINDI WA RAIS MTEULE DKT JOHN MAGUFULI WAFUNIKA KIMATAIFA

Ushindi wa Rais Meteule wa Tanzannia John Magufuli aka Tingatinga (The Bulldozer) umefunika vianzo vya habari vya kimataifa katika kila kona ya dunia.

Kufunika kwa ushundi wa mgombea wa CCM katika kiti cha urais Dkt.John Magufuli inadhihirisha wazi kuwa nchi ya Tanzania ni kioo cha amani duniani,

kwani watanzania wamefanya mahamuzi sahii kwa amani bila kuwapo na uvunjifu wa amani,tofouti na nchi nyingi duniani kila panapokuwa na uchaguzi basi raia wataishi kwa mashaka.

Mungu Ibariki Tanzania tupia jicho baadhi ya link

BBC-London
John Magufuli of CCM defeats Edward Lowassa

New York

John Magufuli Declared Winner in Tanzania's Presidential Election

Kenya

John Magufuli declared winner of Tanzanian presidential electionl

Raila congratulates John Magufuli on winning Tanzania election

CCM's John Pombe Magufuli elected Tanzania's fifth president

UGANDA:

It is Magufuli for Tanzania

Germany:

John Magufuli announced as Tanzania's new president

John Pombe Magufuli siegt bei Pr?sidentenwahl in Tansania

AUSTRIA:

Tansania: John Pombe Magufuli gewann Pr?sidentenwah

Rwanda:

Tanzania: John Magufuli afite amahirwe menshi yo kuba Perezida

UAE;

Tanzania ruling party candidate wins presidential vote

Yahoo;
Tanzania's new president, 'The Bulldozer'
 
VIP mbona marais hawajampongeza mpka sasa
 
Ngoja vyuo vifunguliwe. Mtifu unaanzia hapo. Halafu inajuja vendors wanaotoa huduma serikakini watakapositisha kutoa huduma zao kwa kutolipwa kwa muda mrefu. Bado wastaafu anbao hawajainziwa sehemu za pension kutoka kwa mwajiri wao ambaye ni serikali.
Mbona hii ngoma ndiyo kwanza imebadikwa jikoni!
 
Mungu amuongoze ili asikitumikie chama Bali atumie nguvu na hekima zake kulitumikia taifa kuleta maendeleo, pamoja na huduma bora za kijamii , hususan elimu bora, huduma bora za afya, mafao ya wa fan ya kazi wa sekta zote.
Ahakikishe hakuna migogoro ya kila kukicha kati ya wafugaji na wakulima.
Pia ahakikishe analinda raslimali zetu kwenye ardhi, na maliasili. Na ahakikishe anakomesha ufisadi kwa dhati.
Kwamba si wakati wa kusherehekea Bali ni wakati wa yeye kutafakari jinsi ya kulikwamua taifa kwenye mkwamo liliomo
sasa na matumaini tuliyonayo sisi watanzania kwake kama rais wa jmt bravo makufuli the tingatinga.
Moja ya ahadi yako kubwa imekuwa ni viwanda ili kuwapatia ajira watanzania. Anza na viwanda vya kati kama vya usindikaji iwe maziwa, nyanya, matunda na kadhalika maana hivi viko chini ya uwezo wa wawekezaji wa ndani kimtaji, na ukifanikiwa Hilo basi itakuwa ni mwanzo wa sisi wananchi kukuunga mkono kwa kuchapa kazi.
La mwisho pitisha fagio la chuma kuondokana na utendaji wa kimazoea katika taasisi zote za umma, kila mtu atoe huduma bila kutaka kitu kdogo kama ilivyo mazowea ya sasa.
 
Ngoja tuanze na boom, hivyo viwanda ataishia kufukuza mawaziri tu
 
nimeamini watanzania ni maiti kwani hata ukiipiga haiwezi kukurudishia. pamoja na kukamatwa kwa kura bado mtanzania unasema uchaguzi ulikuwa wa haki na amani? poor you ccm
 
VIP mbona marais hawajampongeza mpka sasa
Watanzania wengine wajinga sana. Tunataka pongezi za marais wa nje za nn wakati sisi ndio tumliomchagua Magufuli? Ndio maana mliitwa malofa. Naamini una ulofa wa akili
 
Asipongezwe amekuwa Nkrunzinza !!!?
 
Ngoja vyuo vifunguliwe. Mtifu unaanzia hapo. Halafu inajuja vendors wanaotoa huduma serikakini watakapositisha kutoa huduma zao kwa kutolipwa kwa muda mrefu. Bado wastaafu anbao hawajainziwa sehemu za pension kutoka kwa mwajiri wao ambaye ni serikali.
Mbona hii ngoma ndiyo kwanza imebadikwa jikoni!
Kaweza Jakaya aje kushindwa Magufuli! Endeleeni kujifariji
 
Watanzania wengine wajinga sana. Tunataka pongezi za marais wa nje za nn wakati sisi ndio tumliomchagua Magufuli? Ndio maana mliitwa malofa. Naamini una ulofa wa akili

Waambie hawa maana bado wanawaza ukawa, wakati pazia limefungwa na tunataka kazi sasa si matusi Bali amani na upendo ili tusonge mbele
 
VIP mbona marais hawajampongeza mpka sasa

Mwambie Mzee awashe Simu Petrol stations kadhaa zinamtafuta alipe yale mafuta waliuowawekea marafiki zake wa boda boda, pia Gwajima anataka ampe kadi ya mualiko wa Harambee ya kuchangia ujenz wa kanisa pia Sheikh Katimba ana kadi ya kuchangia Madrassa
 
"Kufunika"
what are you trying to communicate...myopic views.....
 
Ngoja vyuo vifunguliwe. Mtifu unaanzia hapo. Halafu inajuja vendors wanaotoa huduma serikakini watakapositisha kutoa huduma zao kwa kutolipwa kwa muda mrefu. Bado wastaafu anbao hawajainziwa sehemu za pension kutoka kwa mwajiri wao ambaye ni serikali.
Mbona hii ngoma ndiyo kwanza imebadikwa jikoni!

Tulijua kuwa nchi yetu inamatatizo mengi na uozo mwingi. Na uozo huu ulikuwa unawakabili Lowassa na Magufuli. Yeyote kati yao ndo zigo lake.

Huu ni uchaguzi wa mabadiliko.
Wote tulitaka rais atakayengoa mfumo kandamizi, kusafisha uozo na kuleta maendeleo ya kweli.

Matatizo yote ulotaja yasingetoweka ghafla kwa sababu tu Lowassa aua Hashim Rungwe kachaguliwa.

Kampeni zishaisha..punguza #mahaba
 
Ngoja vyuo vifunguliwe. Mtifu unaanzia hapo. Halafu inajuja vendors wanaotoa huduma serikakini watakapositisha kutoa huduma zao kwa kutolipwa kwa muda mrefu. Bado wastaafu anbao hawajainziwa sehemu za pension kutoka kwa mwajiri wao ambaye ni serikali.
Mbona hii ngoma ndiyo kwanza imebadikwa jikoni!

Bado tu hujakata tamaa?

Rudi kwa Joshua akupe utabiri mwengine, wa awali alikosea.
 
Baada ya kuapisha baraza lake..itakuwa vizuri apelekwe nchi za nje na Rais anayetoka madarakani kutambulishwa kwa wahisani/wadau wa maendeleo yetu.Safari ikichukuwa miezi miwili na maafisa kama sitini au hamsini siyo mbaya kwani haitakuwa na gharama kubwa.Uchumi wetu umekuwa by 7.5%.
 
Nadhani hamna haja, jk akaimu uwaziri wa mambo ya nje, magufuli afanye kazi ya kujenga uchumi. Huko nje wazungu na wachina wata mcorrupt.
 
Watanzania wengine wajinga sana. Tunataka pongezi za marais wa nje za nn wakati sisi ndio tumliomchagua Magufuli? Ndio maana mliitwa malofa. Naamini una ulofa wa akili

kagame ,nkurunzinza,mwai kibaki,Mugabe,alasade watara, wote hawa hawakupongozwa kwenye list muongeze na makufuli pombe alafu wasome a lama Zhao za nyakati walipatikana kwa njia zip
 
Mungu amuongoze ili asikitumikie chama Bali atumie nguvu na hekima zake kulitumikia taifa kuleta maendeleo, pamoja na huduma bora za kijamii , hususan elimu bora, huduma bora za afya, mafao ya wa fan ya kazi wa sekta zote.
Ahakikishe hakuna migogoro ya kila kukicha kati ya wafugaji na wakulima.
Pia ahakikishe analinda raslimali zetu kwenye ardhi, na maliasili. Na ahakikishe anakomesha ufisadi kwa dhati.
Kwamba si wakati wa kusherehekea Bali ni wakati wa yeye kutafakari jinsi ya kulikwamua taifa kwenye mkwamo liliomo
sasa na matumaini tuliyonayo sisi watanzania kwake kama rais wa jmt bravo makufuli the tingatinga.
Moja ya ahadi yako kubwa imekuwa ni viwanda ili kuwapatia ajira watanzania. Anza na viwanda vya kati kama vya usindikaji iwe maziwa, nyanya, matunda na kadhalika maana hivi viko chini ya uwezo wa wawekezaji wa ndani kimtaji, na ukifanikiwa Hilo basi itakuwa ni mwanzo wa sisi wananchi kukuunga mkono kwa kuchapa kazi.
La mwisho pitisha fagio la chuma kuondokana na utendaji wa kimazoea katika taasisi zote za umma, kila mtu atoe huduma bila kutaka kitu kdogo kama ilivyo mazowea ya sasa.

Angalia asije akawa tingatinga wa kuzidi kubomoa Maisha yako. Nadhani endelea kupambana na Maisha yako maana unachotarajia kisipotokea utaumia unless upo jikon mwa CCM.unakumbuka mkwere alipochaguliwa watu walivyofurahi???unakumbuka ushindi wake ulikuwa asilimia ngapi???cha kushangaza baada ya miaka mitano akaambulia61%,unadhani what happened,angalia hata Huyu wa sasa walivyostruggle wakaambulia 58%,I think the graph is abt to touch zero...so don't be happy and give urself hope.
 
Back
Top Bottom