Mkuu umeishatuma salamu za Pongezi?
Nnauye jr said:4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........
kama rais mwenyewe mnaempgia chapuo ni zitto na wenzenu kule ni lowasa
hakiyanani lazima tuingie msituni safari hii
imetosha sasa..
Walikuwa wanafanya fujo? Pole sana.Kwa Mara ya kwanza nakubaliana na Nape. Fujo za Chadema zitajibiwa na kura za wanamchi. Kule Marecani Yule Romney Alikuwa na mikutano mikubwa iliyojaa watu. Wengi walifuata upepo tu.hongera Obama
Kwa Mara ya kwanza nakubaliana na Nape. Fujo za Chadema zitajibiwa na kura za wanamchi. Kule Marecani Yule Romney Alikuwa na mikutano mikubwa iliyojaa watu. Wengi walifuata upepo tu.hongera Obama
mawazo finyu ya CCM
- the king of all social network media is here so relax and take back seat, Nape ndio ameinjinia kuhsindwa kwenu kwenye viti 27 vya udiwani na kuambulia 5 tu, so he knows what he is talking about just listen and take notes, kwa sababu na kwenye urais na ubunge mtapigwa tena kama watoto halafu mtatuletea maandamano yenu, watu wa ajabu sana unashindwa kura unaanza kuleta migomo? Ha1 ha! Ha! Ha!
Le mutuz!!
Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;
1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....
2. Kelele nyngi na wingi wa wapiga kelele si kigezo cha kupata kura nyingi siku ya kupigiwa kura......mikakati na ukaribu na wapiga kura ambao huonyesha ni kiasi gani Chama kiko karibu na kuzijua changamoto zinazowakabili wapiga kura ni moja ya misingi mikubwa...
3. Kutumia muda mwingi kuponda mafanikio yaliyopatikana kwenye kipindi cha mshindani wako...hasa aliyeko madarakani hakusaidii kukufanya upate kura bali wenye akili zao wataona unawadharau na kuwaona wajinga kama vile hawaoni yaliyofanyika.....ndicho kilichommaliza Romney...
4. Lakini ushindi kwa Obama ni dalili njema za kukubalika kwa fikra za kijamaa kwa Taifa kubwa na la kibepari duniani.....sasa tizameni upya itikadi zenu........
Napelape bwana! hivi akinamama kulala mzungu wa nne wodi za wazazi ni maendeleo?kugawa tshirt, khanga na pilau wakati wa uchaguzi ni maendeleo,acha kuropokaropoka bwana mdogo,!halafu wewe si ndio mwasisi wa CCJ vile?Ushindi wa Obama dhidi ya Romney ni fundisho zuri kwa upinzani nchini kwetu kama wataamua kujifunza, mafunzo muhimu sana kwa washindani wa kisiasa ni pamoja na;
1. Kiwango cha utekelezaji wa ahadi mbalimbali na mipango (Ilani ya uchaguzi) kwa wananchi ina nguvu kubwa katika kuwafanya wapiga kura kuamua nani wa kumpa kura wakati wa kupiga kura..... Kupigia kura mabadiliko au la....
Napelape bwana! hivi unafikiri watanzania ni wajinga?hawaoni mama zao wanaolala mzungu wa nnne wodi za wazazi?