Hahahha, mi nakaa maeneo hayo, lakini huyu jamaa Mahanga ni miyeyusho kwenda mbele! Barabara ile inavyosumbua utadhani haoni. Hata ile back up ya kuvuka reli nayo inamshinda kuipigia kelele hadi waweke hata moramu jamani! Makongoro anatufaa huyo ni nyama yetu kama atapita CCM inakula kwao.