Ushindi wa Lowassa Dodoma

Ushindi wa Lowassa Dodoma

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
...

angalia picha kwa MAKINI ...

kukusaidia njano na kijani 14% the rest is LOWASSA

DODOMA%2B2.jpg
 
ndio mjue sasa kuwa uadilifu na uchapakazi kazi wa Magufuli unaenda kumpa kura za watanzania wote haijalishi vyama vyao.

ili mjue kuwa ukawa mnaenda kushindwa fanya ulinganifu huu, pamoja hilo linaloitwa kufuata wasanii na kusombwa kwa malori. jiulize mikutano ya ccm miezi michache nyuma ilikuwa vipi na sasa ikoje kimahudhurio?

ukipata jibu basi jiandae kisaikologia 25 oktoba.
 
.....

....Tazama picha kwa makini acha pesa
 
Uchaguzi wa Mwaka huu,hakuna mgombea mwenye Uhakika wa Ushindi.Ila kuna mmoja ni Mastermind,anaweza kushinda.
 
...hayo manguo wanayagawaga barabarani kupamba mkutano wala sio wapigakur wao...
 
ndio mjue sasa kuwa uadilifu na uchapakazi kazi wa Magufuli unaenda kumpa kura za watanzania wote haijalishi vyama vyao.

ili mjue kuwa ukawa mnaenda kushindwa fanya ulinganifu huu, pamoja hilo linaloitwa kufuata wasanii na kusombwa kwa malori. jiulize mikutano ya ccm miezi michache nyuma ilikuwa vipi na sasa ikoje kimahudhurio?

ukipata jibu basi jiandae kisaikologia 25 oktoba.

Umekosea sana! Ndio ujue kila mtu anapenda burudani, kwa sababu wengi huwa hawana pesa za kwenda kuangalia hizo burudani siku wapendapo basi zikijitokeza fursa za bure kama hizi basi mtu huzitumia vyema.
 
Laiti ukawa wangekuwa wanagawa nguo bure kama gambaz
 
ndio mjue sasa kuwa uadilifu na uchapakazi kazi wa Magufuli unaenda kumpa kura za watanzania wote haijalishi vyama vyao.

ili mjue kuwa ukawa mnaenda kushindwa fanya ulinganifu huu, pamoja hilo linaloitwa kufuata wasanii na kusombwa kwa malori. jiulize mikutano ya ccm miezi michache nyuma ilikuwa vipi na sasa ikoje kimahudhurio?

ukipata jibu basi jiandae kisaikologia 25 oktoba.

Hii ndio siri ya mahudhurio + wasanii unategemea nini labda kwenye masanduku ya kura wawekemo wasanii.
 
Hivi Magufuli,,,..........

Ndo Nani ??Wakati TAnzania hii hakuna Mahali jina LA Loowasa halijulikani

Nani Anamjua Magufuli. ?,Na kwa lipi ??
 
ndio mjue sasa kuwa uadilifu na uchapakazi kazi wa Magufuli unaenda kumpa kura za watanzania wote haijalishi vyama vyao.

ili mjue kuwa ukawa mnaenda kushindwa fanya ulinganifu huu, pamoja hilo linaloitwa kufuata wasanii na kusombwa kwa malori. jiulize mikutano ya ccm miezi michache nyuma ilikuwa vipi na sasa ikoje kimahudhurio?

ukipata jibu basi jiandae kisaikologia 25 oktoba.

Naomba kukuuliza hivi sikuna mkutano Steve Nyerere na Nchimbi waliuliza wanachi ni nani wangependa awaongoze kama Rais wao wakajibu LOWASSA? kwanini walijibu vile ikiwa walikua kwenye mkutano wa ccm?
.
.Kuhusu watu kujaa kuliko mwanzo ni dhahiri wengi wanavutiwa na fiesta kwani watumbuizaji ni wengi na wananchi hawakulijua hilo kabla..
PENDEKEZO:
Magufuli ajaribu kuzunguka bila wasanii kama anavyofanya LOWASSA ndio tutapima mwitikio wa wananchi
VIVA UKAWA!!!
 
ndio mjue sasa kuwa uadilifu na uchapakazi kazi wa Magufuli unaenda kumpa kura za watanzania wote haijalishi vyama vyao.

ili mjue kuwa ukawa mnaenda kushindwa fanya ulinganifu huu, pamoja hilo linaloitwa kufuata wasanii na kusombwa kwa malori. jiulize mikutano ya ccm miezi michache nyuma ilikuwa vipi na sasa ikoje kimahudhurio?

ukipata jibu basi jiandae kisaikologia 25 oktoba.

Gamba stop talking
 
Back
Top Bottom