Ushindi wa kishindo

Ushindi wa kishindo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,350
Katika nchi inayofuata demokrasia na uchaguzi wa haki rais anaweza kushinda kwa zaidi ya 90% kweli? Basi rais huyo atakuwa na nguvu za ziada za kuweza kutatua kero zote za wanchi kuanzia huduma za jamii, miundo mbinu na uchumi.

Mkiona madiwani wanapita bila kupingwa mjue na wabunge watapata slope hiyo hiyo. Mwisho wa yote rais atapita kwa 98%. Hivi kweli kabisa unatawala binadamu huru upate 98% ya watu wanakubali utawala wako! Wonders shall never end.

Haya mambo tulizoea kuyaona Rwanda, sasa sisi ndiyo siasa yunazoziamini. Rwanda wakianza kampeni tu tuna just Kagame ndiye mshindi kwa 99%. Hata Uganda ni hivyo hivyo.

Kwa kweli nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi zaidi ya Botswana na Ghana sijui ni zipi maana sisi tunaigiza uchaguzi kama Bongo Movie.
 
hata mimi natarajia kujiuzulu nafasi zangu zote kuunga mkono juhudi za mh rais
 
nawapongeza wote wanauunga mkono utawala wa JPM.
 
Katika nchi inayofuata demokrasia na uchaguzi wa haki rais anaweza kushinda kwa zaidi ya 90% kweli? Basi rais huyo atakuwa na nguvu za ziada za kuweza kutatua Keri zote za wana nchi kuanzia huduma za jamii, miundo mbinu na uchumi.

Mkoa za kuona madiwani wanapita bila kupingwa mjue na wabunge watapata slope hiyo hiyo. Mwisho wa yote rais atapita kwa 98%. Hivi kweli kabisa unatawala binadamu huru upste 98% ya watu wanakubali utawala wako! Wonders shall never end.

Haya mambo tulizoea kuyaona Rwanda, sasa sisi ndiyo siasa yunazoziamini. Rwanda wakianza kampeni tu tuna just Kagame ndiye mshindi kwa 99%. Hata Uganda ni hivyo hivyo.

Kwa kweli nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi zaidi ya Botswana na Ghana sijui ni zipi maana sisi tunaigiza uchaguzi kama Bongo Movie.
Tumefika kwenye utawala wa kiimla.
 
Awamu ya tano inakubalika sana,haina "Udhaifu"..in Mnyika's voice.
 
Huu ni ushindi wa kishindo..

USA 1972..
800px-ElectoralCollege1972.svg.png
 
Hakuna kiumbe huyo duniani Wa kupendwa na watu wote,hata hao tunaoambiwa ni nitumie pia hawakupendwa na watu wote! 90% ni nyingi mno hakunaga kitu kama hicho ni kupigwa changa la macho tu
Nalog off
 
Katika nchi inayofuata demokrasia na uchaguzi wa haki rais anaweza kushinda kwa zaidi ya 90% kweli? Basi rais huyo atakuwa na nguvu za ziada za kuweza kutatua kero zote za wanchi kuanzia huduma za jamii, miundo mbinu na uchumi.

Mkiona madiwani wanapita bila kupingwa mjue na wabunge watapata slope hiyo hiyo. Mwisho wa yote rais atapita kwa 98%. Hivi kweli kabisa unatawala binadamu huru upate 98% ya watu wanakubali utawala wako! Wonders shall never end.

Haya mambo tulizoea kuyaona Rwanda, sasa sisi ndiyo siasa yunazoziamini. Rwanda wakianza kampeni tu tuna just Kagame ndiye mshindi kwa 99%. Hata Uganda ni hivyo hivyo.

Kwa kweli nchi za Afrika zinazofanya uchaguzi zaidi ya Botswana na Ghana sijui ni zipi maana sisi tunaigiza uchaguzi kama Bongo Movie.
Unajua wazungu kuna muda huwa wakituita uncivilized/washenzi mimi huwa nafurahia na kupenda hilo maana linasadifu ukweli na akili zetu.
 
Back
Top Bottom