Ushindi wa CHADEMA TARIME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa CHADEMA TARIME

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Oct 14, 2008.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2008
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimepokea matokeo ya uchaguzi Tarime kwa furaha sana. Sisemi kwamba mimi ni mwanachama, ila matokeo yangekuwa tofauti hali ya amani iliyopo Tarime kwa sasa ingeharibika. Chama Cha Mapinduzi ninawashuri wakubaliane na matokeo hayo na kuanza kuweka mikakati ya kuijenga Tarime ili wananchi wasijione wapweke.
   
Loading...