lastman
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 402
- 226
Ndugu wana jamii
Kwa hali ya mambo inavyo kwende na mswada wa habari ulio pitishwa leo serikali ya ccm aitazamii kuomba kura 2020 bali ni kuchukua ushindi,wamefunga mikutano ya kisiasa,muswada wa habari ndo huo umepita,mikopo hawatoi,watumishi wanateseka,walimu hawalipwi,wakaona hakuna sehemu nyengine ya kupata kura bali ni kufunga watu midomo kwa chochote watacho fanya..
wasiwasi wangu mkubwa upo 2025..