Hivi kaka kwanini watu wengi mtaani wanakazia kutafuta pesa tu lakini maarifa hawayatafuti? Unakuta mtu kutwa biashara lakini kusomea mambo ya pesa na uchumi hakunaSahihi
Kusoma kitu na kukifanyia kazi si kazi rahisiHivi kaka kwanini watu wengi mtaani wanakazia kutafuta pesa tu lakini maarifa hawayatafuti? Unakuta mtu kutwa biashara lakini kusomea mambo ya pesa na uchumi hakuna
Aisee lakini Kuna dada fulani analalamika biashara ngumu basi nikampa idea ya kutoa offer ya chakula kuvuta wateja. Lakini hayuolko tayari ku adapt to change.Kusoma kitu na kukifanyia kazi si kazi rahisi
Hata wanafunzi husoma kwa ajili yakupas nitihani tuu.
Offer!Aisee lakini Kuna dada fulani analalamika biashara ngumu basi nikampa idea ya kutoa offer ya chakula kuvuta wateja. Lakini hayuolko tayari ku adapt to change.
Ndio matatizo ya kutokuwa na eleimu
Uko sahihiMimi nakubaliana na mtoa mada. Ushindi ni kujishinda KWANZA kisha unashinda mengine.
Nukuu nyingine zinazoebdana na hiyo.
ADUI NAMBA MOJA KATIKA MAISHA YAKO NI WEWE MWENYEWE.
Anauza mihogo ya kukaanga nikamshauri toa offer ya chai kwa wateja. Yaani unanunua mihogo chai unapata bure.Offer!
Hapo ulimpa idea ambayo inaweza kumpata loss, ulimpa mwongozo wa namna itamsaidia na ataitumiaje?
Yeah mbinu nyingine? Kudumisha uhusiano mzuri include ..Kutoa offer ni moja mbinu nzuri
Ahaa ila chai ni expensive kwa biashara yakeAnauza mihogo ya kukaanga nikamshauri toa offer ya chai kwa wateja. Yaani unanunua mihogo chai unapata bure.
Ila wasio na tabia ya kujisomea unawajua walivyo? Hajafanya chochote anaendelea na comfort zone yake
Hakika bro . Ungekuwa wewe ndio muuza mihogo unge manage na kuendesha vipi bussiness Yako na kufikia mafanikio. Nina shauku ya kusikia mawazo Yako kakaAhaa ila chai ni expensive kwa biashara yake
Ni kweli ila pia wanakuwa hawako critic kama wasomaji.
Ni kazi ya kipato cha kawaidaHakika bro . Ungekuwa wewe ndio muuza mihogo unge manage na kuendesha vipi bussiness Yako na kufikia mafanikio. Nina shauku ya kusikia mawazo Yako kaka
Aisee una mawazo makali kaka. Yaani una chagua location yenye mafuriko ya watu kisha una zindua bidhaa za surprise kama mihogo ya mayai.Ni kazi ya kipato cha kawaida
ILa inawezekana ningefanya kwa malengo fulani, kutoa offer pale ningeumiza biashara.
Hapo ningejiwekea malengo na kuhakikisha napata kiasi cha kunifanya nipate mtaji wa biashara nyingine. Ninge tafuta spot kama jirani na shule, ama chuo ambapo consumer wengi ni wanafunzi then nika ongeza ujuzi kwenye uandaaji labda kpita mihogo ya mayai nk
Ni ngano imechanganywa na mayai then inachanganywa na mihogo iliyo chemshwaAisee una mawazo makali kaka. Yaani una chagua location yenye mafuriko ya watu kisha una zindua bidhaa za surprise kama mihogo ya mayai.
Aisee nimeipenda sana hiyo . Hivi hiyo mihogo ya mayai inapukwa vipi ? Labda nijaribu home πππ
Uh kudadadeki , hapo lazima biashara iwe gumzo. Sasa utal organize vipi bei? Utauza mhogo Moja 100? Pia lazima ufikirie kipato cha wateja kakaNi ngano imechanganywa na mayai then inachanganywa na mihogo iliyo chemshwa