Ushindi mnono wa CCM

Ushindi mnono wa CCM

The lariat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2025
Posts
1,354
Reaction score
1,912
1. CCM imepata wabunge wangapi kati ya wabunge wote?
2. Watumnasiri sana, kumbe Jerry hakurudi bungeni, kweli power is transient, tuheshimiane, dunia mapito.
3. Kwa ushindi huu mnono, mbona sioni pongezi zikimiminika? Ukiachia kejeli za Lucas Mwashambwa.
 
Hio karamu ya wauaji wala haituhusu,acha wapongezane kwa kumwaga damu za wenzetu
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. CCM inaheshimu sauti za wananchi na kuheshimu sanduku la kura na ndio maana imekubali kupoteza jimbo la ukonga kwa Jerry Slaa kama ilivyo kule Nkasi kaskazini na Kigoma kaskazini.
 
Sanduku la kura? Hizi ninazoziona instagram watu wanajaza kwa pamoja?
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. CCM inaheshimu sauti za wananchi na kuheshimu sanduku la kura na ndio maana imekubali kupoteza jimbo la ukonga kwa Jerry Slaa kama ilivyo kule Nkasi kaskazini na Kigoma kaskazini.
Wazazi wako kama bado wako hai, basi watakuwa wanapitia maumivu makali sana kwa kuzaa mtoto pooza kama wewe.
 
Back
Top Bottom