..ushenga..

Pure Mathematics

Senior Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
174
Reaction score
52
Hi JF! Naombeni kuuliza, hivi ushenga siku hizi ni ajira? Manake kuna sehem flan nilipita nikaona mabango yana-advertize madalalali, waganga n.k, pembeni yake nikaona bango linasomeka "MSHENGA ANAPATIKANA" contacts 0713...
Duh, nimeshangaa kwa kweli..
 
Hahahaaaaa ni bango langu hilo....
Siku hizi kila kitu ni biashara....we hujajua tu hadi leo?
 

Karibu Daresalama
 
Siku hizi hata kuambukiza ukimwi ni dili mkuu. Kama unao jitangaze tu utafatwa na kupewa mchongo na wataalamu.
 
Wala mie halinishangazi hilo!
Tangu siku jamaa yangu nilipomuona amekodi watu wa kwenda kulia msibani ! Sio kulia ile ya kula, lia ile ya Cryin' with tears !
 
Ndo hivyo..me pia kuna sehem nlpita nikaona bango limeandikwa kuwa tunanunua kila kitu.
 

Aiseee!huu utapeli kbs aseee!ina maana hata cku ndoa ikizingua huyu atapatikana kusolve matatizo ya ndoa ngapi km ndio amekua km dalali,njaa mbaya sn aisee!
 
usione watu wa masaki, roho ngumu kuliko za watu wa tandale, huku tandale tunatumia roba za mbao, masaki wanatumia kalamu, mabilioni ya EPA.

Hahaha! Nimegundua kumbe ndio mana hutaki kuhamia Masaki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…