Majibu sahihi au yenye unafuu utayapata kwa wanawake, Ilakikawaida hirizi takatifu ni Gari/usafiri na Pesa, vingine ukarimu na upole wa kinafiki, uvaaji wa kimnato, perfume kali kwa kundi kubwa ni mtelemko iendane na mavazi juu mpaka chini, simu kali, vichekesho vya WhatsApp, meseji mfadhaisho mtamu/hamasishi, buy them gifts without being asked hasa zile sensitive na zenye mlengo wa emotions (usiniulize sitakwambia), ukijua mapenzi utaelewa, ukiwa na demu mkali pita nae kwa mademu wakali, date some of them kwa kuwatoa out ya dk20-30 tu, then baadae ya hapo jifanye uko bize tawanyika , tunarudi mchawi pesa kama unazo na huwapati jiunge na upadri!! FC enyi mademu wote njooni kwangu maana ufalme wa mapenzi na ufunguo wa gheto ninao mimi. Amen