gambachovu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,854
- 293
Dah!! Enzi zile nasoma Kibosho katika shule flani ambayo ipo karibu na umbwe tumepiga sana hii kitu mkuu ila mimi sijawahi kupiga pass maana mimi nilikuwa naoenda sana maji. hata kama kuwe na baridi kiasi gani ilikuwa ni lazima nioge vinginevy sitoki bwenini.
Mkuu sema MLAMA sekondari.
You've "summed it up!"Boding skuli ndio mambo yote,mie nimeenda fom 1 hata cjielewi nipo nipo tu mpaka mama anaondoka nalia km nimefiwa but mpaka narudi likizo nishakomaa najua bajeti ya pesa hata nikiugua nagangamala sio kulia lia!nikaweza kufa mpaka blanket yan maisha yale ndio yalijengea ujasiri na kujifunza maisha halis ya kidunia!
You've "summed it up!"
Ulisoma wapi boarding if you dont mind?
Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.Nimesoma Narumu sec. shule ya masista iko moshi,jiran na lyamungo secondary!ilikua haina midterm ukingia mle januari ni mpaka may,ukingia july ni mpaka nov,ukifika getin unapekuliwa hata sukari huingii nayo,mavazi ni mwendo wa shamba drec lol!
Kwetu tulikuwa tunapenda sana kuiba mahindi ya shule na machungwa....Lol
Kigomaaaaaaaaaaa
Me nimesoma kolila, nilikua napitisha wiki bila kuoga. Afu kitu cha ugali wa donA..chaputa na magoli ya mkono kama maradonA
hahahhaa, umenikumbusha shamba dress, jamani mie nilienda boarding weruweru moshi kwa wale wanaoijua shule ya weruweru ni wazee wa kilimo kwanza siku ya kwanza nafika shule ijumaa jumamosi tukapelekwa shamba unapewa mstari wa kupalilia mahindi ukifika kati ujui umeanzia wapi na unaishia wapi.
nililia jamani mpaka basi unaenda shamba asubuh mpaka usiku nkaandika bonge la barua kwa baba kwa peni nyekundu kumweleza kwamba shule siiwezi kuna mateso sana kulima, kufyeka na kuchimba mitaro, kuzibua vyoo.
uku nje watu wakituona ni masista duu ila kazi tulizopitia ni balaa, sitaisahau weruweru.
Bongwe au Bangwe?Kg me nilikuwa bogwe tulikuwa taiba miwa yashule na machenza.
Boding skuli ndio mambo yote,mie nimeenda fom 1 hata cjielewi nipo nipo tu mpaka mama anaondoka nalia km nimefiwa but mpaka narudi likizo nishakomaa najua bajeti ya pesa hata nikiugua nagangamala sio kulia lia!nikaweza kufa mpaka blanket yan maisha yale ndio yalijengea ujasiri na kujifunza maisha halis ya kidunia!
kweli kabisa boarding akuna usister du, msosi ambao nilikuwa nakula uwezi amini kama ni msichana anapiga huo msoc.hahah shaurii ya kulimaa sister duh!!mkono kamaa anapasua mawee..boarding hakunaa usister du<demu anafuliaa mpaka anakunywaa ujii wa chumvii hana sabaunii anagongeaa hata mandazii