Ushawahi tumia hii bidhaa

ni jina la biashara ya bidhaa mbalimbali kama vyakula, nguo nk. Bidhaa zake ni nzuri na zina ubora.
 
Ole wako upate mtoto anaejua kusoma aione hii bidhaa
 
Siwezi kutumia maana hilo jina linanipa kichefuchefu sasa hiyo bidhaa si ndo nitatapika!
 
Mmh hii brand name ni ya nchi gani?
 
Dah hii ishu ya majina ya vitu au watu ni shida sana. Lugha ni nyingi mno kukwepa tafsiri mbaya. Maana ya wahindi tu balaa hehehe.
 
Hahaaa
 

Attachments

  • 1405524849638.jpg
    40 KB · Views: 155
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…