mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,480
Sijasema kulala saa kumi na mbili,nimekwambia kusoma.. Kitaalamu kabisa mtoto anatakiwa alale masaa yasiopungua 10..Sasa mwanao anaangalia tv Hadi saa sita halafu ghafla saa saba anaanza kusoma,we unahisi ni jambo la kawaida?malezi sio kulala na kulala tu malezi yanahitaji skills hapo unatengeza bomuKwa hyo mkuu nimkatazee au??namwacha asome hataa akiamua kukeshaa maana nikitu inaonekanaa anapendaa ...na mpaa uhuru Zaid ktk Ili na kwann alale saa kumi na mbili amekuwa kuku Kwan??
AMIN
ngoja anitumie nauli utasubiri ushuhuda hapa
Angekuwa anamtaka angekuja kumchukua mwanae, acheni siasa zenu. Mama hataki kuwajibika ndio akamlee, nani alikwambia kuwa wanawake wana logical reasoning au sumpathy. Wao hutafuta sympathy bali hawatoi sympathy.Kama mama yake mzazi Yuko hai ni Bora ampeleke akaishi naye.
Hii ni ajabu kwa kweliAngekuwa anamtaka angekuja kumchukua mwanae, acheni siasa zenu. Mama hataki kuwajibika ndio akamlee, nani alikwambia kuwa wanawake wana logical reasoning au sumpathy. Wao hutafuta sympathy bali hawatoi sympathy.
Tumeyaishi hayo na tulikuwa na wazazi wote wawili na hatukufa. Medicine is complex, usikariri. This is bongo not America. Halafu actually ni 8hrs sio 10hrs. Mazingira ya TZ siyo ya 1st world country. Ni daktari ila nakuhusia sio kila unaloliona kwenye jarida la afya vinawezekana unaweza kuamua usiishi kabisa maana samaki tu unaekula naweza kukwambia usile kabisa maana vinajisi vya cancer ila fanya sasa uone kama utaishi,Sijasema kulala saa kumi na mbili,nimekwambia kusoma.. Kitaalamu kabisa mtoto anatakiwa alale masaa yasiopungua 10..Sasa mwanao anaangalia tv Hadi saa sita halafu ghafla saa saba anaanza kusoma,we unahisi ni jambo la kawaida?malezi sio kulala na kulala tu malezi yanahitaji skills hapo unatengeza bomu
Upo sahihi mkuuNashangaa mwanamke anaezaa na kumuacha mtoto kwa mwanaume…. Mtoto wa miaka 8 unamuachia mwanaume tena ambaye yuko single[emoji2955][emoji2955]
Huyo sio mzima… mwanangu siwezi mtelekezaa kwa mtu nilipo yupo alipo nitakuwepo
Vyema,Kwa vile we ndio mzazi wake maamuzi ni yako piaTumeyaishi hayo na tulikuwa na wazazi wote wawili na hatukufa. Medicine is complex, usikariri. This is bongo not America.
Yap ni kweli,ila ukichunguza vizuri utakuta Hawa wanawake wanaowachukia watoto wao wa kuwazaa,hawapo vizuri kiakiliInategemeana ndugu.. kisingizio cha kumzaa haimaanishi kwamba atampenda sana.. kuna wazazi wanawachukia watoto wao
Nasema mimi kama mtoto. 3rd world country is a different world kukiwa na mazingira magumu saana, tusikariri kabisa. Na muda utakuja ambao yatakuwa magumu zaidi, tunavitu vingi vya afya katika nchi zetu za ulimwengu wa tatu tumekiuka sio kwamba ni sahihi ila maisha na mazingira yetu. Nikizitaja utapanda rocket kwenda Mars.Vyema,Kwa vile we ndio mzazi wake maamuzi ni yako pia
Aiseee mim nimevurugwa lakini wew umeniacha kwa mbali sanaNipasie namba ya Mama yake kama hutojali,,hata Kama alikwisha kufa!!
Asante sanaNakupongeza sana kwa ujasiri ulionao wa kuishi na binti yako, nawaombea amani na upendo na binti akue katika maadili mema,
Nakushauri usioe kwa sasa hadi binti afike walau miaka 15, umri huo atakua anajitambua angalau na kuweza kuhimili mikiki ya mama wa kambo, ukimleta mwanamke sasa hivi kwenye maisha yenu atawavuruga sana na mtoto atakuchukia,
Wanaosema umpeleke kwa bibi au ndugu ni waoga wa maisha na wengi hawajasettle, mzazi anayejitambua lazima apende kuishi na mwanae na kuona hatua zote za ukuaji wake.
Mtoto anavunja ungo kuanzi miaka 10 na kuendelea, mpaka akifika hapo ninahisi atakuwa ashapata mama bora,Akivunja ungo itakuwaje, mpeleke kwa bibi yake.Unamharibu huyo mtoto na wewe unajiweka katika mateso yasiyo na faida na jamii inakushangaa sana ipo siku itakugeuka na hautaamini. " Baba alala kitanda/chumba kimoja na binti yake aliyebalehe kwa miaka 2"