Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,837
- 6,372
Ile time kuna PISI kali ,au ka gentle fulani unakaelewa vilivyo unatafuta timing ukajimbwae mbwae
Unamuelewa kiasi kwamba unajiweka tofauti na kawaida ili hata asikuchukulie kawaida
Binafsi Enzi za kidato kuna Mdada mmoja nlikuwa namuhusudu sana na nlitengeneza mazingira ya kuniona wa tofauti ikiwemo kipato , lakini ilinikuta Fadhaa moja mbele yake
SI NILITUMWA KWAO KUUZA KUKU๐๐
Tiririka nasi hapa AIBU gani ilikupata mbele ya CRUSH wako?