Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

Ushawahi mkimbia mwanamke chumbani?

Hozo mara nyingi hua vigezo vya wanaume ambao hawana nguvu za kiume, mtu unadindisha mara moja kwa mwezi unaweza kabisa kufanya hizo process, maana hadi uje udindishe tena kila kitu unakua umefanikisha.
Hahahahahahha mara moja kwa mwezi
 
Kuna jamaa yangu mmoja kijijini alienda kupiga mzigo kwenye pori mida ya saa 2 usiku,

Sasa ile amemuinamisha demu anaendelea na kupiga mzigo akapita panya spidi kali karibu na miguu.

Jamaa kwa uoga alijua ni nyoka, alikwenda mbio hatari, utamu ukaishia njiani. Walikuja kusimuliana kesho kila mmoja alikimbia kivyake
Hahahaha.duu hii kali.
 
nilikimbiwa mimi nakumbuka ile gesti ilikuwa choo cha nje kumbe yule demu alitime alichukua wallet na simu handbag aliaacha akatoka na kanga mbili nguo alizokuja nazo aliacha.

baada ya siku kama tatu alinicheki kuulizia vitu vyake kama nilimchukulia, uzuri nilimbebea.

ila mpaka leo hajanambia sababu ya kunikimbia
Interesting
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom