Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Sio wote tunauliza ushauri kutoka kwa mashoga zetu kwenye swala zima la mahusiano.
Ila hiyo ya kumpost x wako status mmhhh! Kimbia😂
Hiyo kwenye avatar ni miguu yakoo bibie??Sio wote tunauliza ushauri kutoka kwa mashoga zetu kwenye swala zima la mahusiano.
Ila hiyo ya kumpost x wako status mmhhh! Kimbia[emoji23]
Unamtongoza FaizaFoxy unategemea nini kwani!!Aisee hakuna stress kubwa kama umependa wanawake na ukaamua kumtongoza kwa maneno kapambe kuwa upo single for a long time na blalabla kibao lakini kabla hajakukubalia unaona amepost status yake kwenye WhatsApp yupo na Ex girlfriend wako!na ukikumbuka ulimbwaga kwa madoido X wako!
Hapo unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi kama
Bombadia
NB,ili mwanamke akubali ama kukataa inategemea sana Rafiki yake atamshauri vipi
Wewe haumo kwenye hii list...Unamtongoza FaizaFoxy unategemea nini kwani!!
Hili hapa, wewe haumo humu...Aliweka tangazo la kutongozwa humu!! Usiangalie ushungi FaizaFoxy amepinda balaa na bado anatafuta kupindwa!!
Ulikuwa unasaka mwenye kibamia au mtaimbo wa kihongwe?Wewe haumo kwenye hii list...
Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo. Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.www.jamiiforums.com