Ushawahi kutunukia tunda alafu mnara usisome?

Ushawahi kutunukia tunda alafu mnara usisome?

Ngumu vipi wakati mimi ndio nakueleza means ni kitu nilichokiona mara zote na sio mlevi wala hagusi pombe ila ndio yupo hivyo
yupo hivyo ur husband, pia inatokea mkuu, sometimes stress zinachangiaga,mi inatokeaga pale wife anapokuwa hana mood hata yakuulilia mtulinga......uko right mkuu!
 
Back
Top Bottom