CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
- Thread starter
-
- #41
Kuchenji dukani/restaurant kaniacha garini na nilikuwa nimempa $200 takriban 320,000 za tz, hakurudi pamoja na kuwa nilishaweka my bags garini, alikuja mwingine na funguo akasema hamtambui huyo alonikimbia ikabidi nilipe upya. KUMBE WANAJUANA.....
Poleni nyie mliotapeliwa na na waswahili wenzenu!
Bora mie nilitapeliwa ma'nchi ya watu! Nilitapeliwa na wazungu!
"mbwa wa mfalme akifika uswahilini anakua mfalme wa mbwa wa uswazi "
Nishatapeliwa mara kibwena, na juzi tu nimetapeliwa kilo 3 na dada mfanyabiashara.
Nilitaka aniletee kompyuta kutoka China nikampa advance, mwezi wa 9 huu, kompyuta bado iko njiani.
hahaha, atakuwa ameipakia kwenye guta kama sio anakuja nayo ameibeba kichwani. Mpe mwaka hivi
You have it...Paw
teh teh, me cheka sana shem! btw vipi mkeo beibe nasty mbona kapotea sana?????
Shemeji ulikuwa chimbo gani?
Naniliu ndo natapeliwa kila Uchwao.
vile ushajua wanakutapeli naniliu, next time ipake pilipili kichaa kabisa waipate fureshi.
Ye hajambo mno ! Anakusikia uulizayo!teh teh, me cheka sana shem! btw vipi mkeo beibe nasty mbona kapotea sana?????
hahaha, atakuwa ameipakia kwenye guta kama sio anakuja nayo ameibeba kichwani. Mpe mwaka hivi
Mie nimeshanusurika several times kutapeliwa. Simply kwa sababu im not such a risk taker na ndo chanzo cha umasikini wangu. But i also dont believe in hela za chap chap.
Im still counting my lucky.
hiyo mimba aliobeba ni triplets nadhani.
Kuna wababa hawafai kubip.
Ye hajambo mno ! Anakusikia uulizayo!
Atakushukia tu, midamida.
duh,pole mkuu. vipi kama ndo ilikuwa balance iliyopo?
Ni ujinga tu kwakuwa hata hizo $200=16,000 za kenya nisingemaliza 4 that late night ila ni fndisho kwangu na kwenu. Sijui nilwza nn ila nilikuwa na nyingine.
kutapeliwa ujue mtu akitapeliwa hawezi jua kmama anatapeliwa manake anayetapeliwa hajui kama anatapeliwa ama analiwa anakuja kushtuka tu ameshatapeliwa ...