ushawahi kutapeliwa?????

Mimi walinikomesha pale JOMO KENYATTA AIRPORT, mwezi wa tatu mwaka huu sitasahau! Narudi home from abroad late hours na hakuna bureau de change iliyo wazi; taxi driver aliyekuwa ananipeleka hotel mjini ili kesho nije na shuttle tz kaniambia anaenda.

Pause>!!
 
Mie nimeshanusurika several times kutapeliwa. Simply kwa sababu im not such a risk taker na ndo chanzo cha umasikini wangu. But i also dont believe in hela za chap chap.
Im still counting my lucky.

You have it...Paw
 
Nishatapeliwa mara kibwena, na juzi tu nimetapeliwa kilo 3 na dada mfanyabiashara.
Nilitaka aniletee kompyuta kutoka China nikampa advance, mwezi wa 9 huu, kompyuta bado iko njiani.
 
Kuchenji dukani/restaurant kaniacha garini na nilikuwa nimempa $200 takriban 320,000 za tz, hakurudi pamoja na kuwa nilishaweka my bags garini, alikuja mwingine na funguo akasema hamtambui huyo alonikimbia ikabidi nilipe upya. KUMBE WANAJUANA.....

Arushaone ameshanitapeli kuhusu ndoa.
 
Poleni nyie mliotapeliwa na na waswahili wenzenu!
Bora mie nilitapeliwa ma'nchi ya watu! Nilitapeliwa na wazungu!
"mbwa wa mfalme akifika uswahilini anakua mfalme wa mbwa wa uswazi "
 
niliwahi zamani sanaaaaaa zena hata sijui nilitapeliwa vipi..... Siemens mshindi na sh 5000
 
Nishatapeliwa mara kibwena, na juzi tu nimetapeliwa kilo 3 na dada mfanyabiashara.
Nilitaka aniletee kompyuta kutoka China nikampa advance, mwezi wa 9 huu, kompyuta bado iko njiani.

Al shabaab wameteka meli
 
Nishatapeliwa mara kibwena, na juzi tu nimetapeliwa kilo 3 na dada mfanyabiashara.
Nilitaka aniletee kompyuta kutoka China nikampa advance, mwezi wa 9 huu, kompyuta bado iko njiani.

loh hiyo kompyuta itakua bado ipo kiwandani inatengenezwa
 
Mungu ni mwema pamoja na kutapliwa kote hakuna aliye umizwa!

Amen
 
Kwa hiyo mpaka marekani walipe dolari ndo nipate kompyuta yangu?

Haswaa....vuta subra, halafu si unasikia Kenya wameshangia Kismayu utapata tu...........subira yavut kheri yakhe
 
Weka kufuli la solex.......nipo natizama mpira wewe andaa maakuli na kujifukiza udi kabisa

Heee!!
Shemeji ni wewe au kuna mtu yuko nyuma ya vidole vyako anaongea haya.
Naenda kusema kwa Kaka yako,japo tulishaachana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…